Mabeberu ni Mabeberu tu hata iweje ni Mabeberu na ni Manyonyaji hatari mioyo yao inatuona sisi nyani na Midomo yao inatuhurumia kinafiki

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
666
Reaction score
1,277
Hawa watu hawapendi sisi tule bata wanaamini sisi ni nyani wa kula mizizi tu wanaamini raha so Dunia wameumbiwa wao

Trump alivyotuita Choo hatukutaka kusikia ukweli wa vile moyo wake usemavyo tukamlazikisha atamke unafiki wa mdomo wetu

Vijana wajinga mbumbumbu nimewashangaa kujadili kauli za kinafiki za Mabeberu eti wamemkataza Makonda kwenda kwao jamani huu ni wendawazimu

Marekani hawatupend huwa tunalazimisha kupendwa nyani ni nyani tu akipata ndizi ananyang'anywa hawa watu tuwapinge kwa nia zao ovu
 
Hatuwezi kuingizwa chaka kwa gharama ya mtu mmoja au kundi la watu wachache,wahusika wawajibe kwa matendo yao!
Siwezi kukubali kuingizwa mkenge wa kuwapinga hao mnaowaita mabeberu/wawekezaji/wahisani kisa tu namtetea muuaji Makonda!
No way!
 
Nyie ndio majizi mtateseka sana ss huku nchi inaenda vzr sana
 
Hvi beberu ni Nani ? Naskia nebo beberu kila Kona... who is beberu? Navyojua mm beberu ni mbuz dume , sass huyu beberu anayeongelewa humu ni nan
 
Ni lugha ya wana ccm, mtu akiwapa hela wanamwita mdau, akiwanyima beberu.
Btw moja ya mikakati mizuri ya kuwaondoa ccm ni kuwapunguzia wadau, wabaki wanalialia mabeberu.
 
Mpumbavu wewe.unakitu gani cha kuchukiwa na marekani Hata condom wanakusaidia.
Hawa watu hawapendi sisi tule bata wanaamini sisi ni nyani wa kula mizizi tu wanaamini raha so Dunia wameumbiwa wao

Trump alivyotuita Choo hatukutaka kusikia ukweli wa vile moyo wake usemavyo tukamlazikisha atamke unafiki wa mdomo wetu

Vijana wajinga mbumbumbu nimewashangaa kujadili kauli za kinafiki za Mabeberu eti wamemkataza Makonda kwenda kwao jamani huu ni wendawazimu

Marekani hawatupend huwa tunalazimisha kupendwa nyani ni nyani tu akipata ndizi ananyang'anywa hawa watu tuwapinge kwa nia zao ovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo ID za BASHITE humu JF, zinafanya kazi kweli kweli. Maliza matusi yote unabaki kuwa mtuhumiwa wa Mauaji na Mtekaji wa Watanzania wenzako pasi na shaka yoyote ile.
 
Back
Top Bottom