Mabega, mgongo na shingo vinakaza jamani

Mabega, mgongo na shingo vinakaza jamani

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
5,519
Reaction score
1,828
Mwenye idea yoyote kuhusu huu ugonjwa maana mara nying nahisi mgongo umeshuka pingili flan hvyo mda mwingi nimekuwa mtu wa kujinyoosha ili kuweka sawa(Kuna maumivu kwa mbali).

Nina miaka 23 nimekuwa mbali na watoto wa kike kwa miaka kumi sasa, mimi kipind chote hcho nimekuwa mtu wa kunyetuka sana ili kukizi aja zangu!

MSAADA WAKUU KWANI ARI NI MBAYA HUKU UPANDE WA PILI!
 
Back
Top Bottom