Mabegi makubwa ya kina dada yana beba vitu gani!

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Wakina dada wa jf tu kwa umakin naomba mseme wenyewe huwa mnabeba nini kwnye mipochi yenu manake, juzi namwona dada mmoja had kapinda mabega kisa beg la kila sku. Tusaidien jama.....
 
uyo uliyemwona alikuwa mfanyabiashara wa forever living!
 
ta mie nashanga maana begi kubwa alafu anaenda job...sasa job begi kubwa la nini?
 
Wengine wanafanya ndo dressing table kila kitu kimo humo.akiamua kujiremba anajiremba tu
 
Kuna siku lilitokea valangati la kimapenzi kwenye Pub Dada mmoja akatoa shoka kwenye hilo begi

Ha..ha..ha..Kumbe wapo wanaobeba vishoka humo..bila shaka mapanga na mi-Adam Malima inawezekana ikawa humohumo kwenye mibegi..
 
Hata yule sista aliyempiga Malima alikuw na kama hili

Haki ya nani hili gunia ama kiroba.Hilo pochi linaweza kutumika kuingiza wahamiaji haramu mpakani.
Hata kwenye ule uvushaji wa sukari kwenda Kenya hili lafaa sana hapo kilo ishirini zanavuka kiulaini.
 
Haki ya nani hili gunia ama kiroba.Hilo pochi linaweza kutumika kuingiza wahamiaji haramu mpakani.
Hata kwenye ule uvushaji wa sukari kwenda kesha hili lafaa sana hapo kilo ishirini zanavuka kiulaini.
Halafu na hiyo afya ya huyo aliyebeba umeiona chief..
 
Wengne ni mahot pot ya mahindi ,vitumbua ,samaki na mihogo unamuona mtu anainama anakuwa kama vile kuna kitu anapekua humo ndani akinyanyua kichwa anatafuna kwa silence
 
Halafu na hiyo afya ya huyo aliyebeba umeiona chief..

Kamwili kadogo sana nadhani ili abebe hili begi likiwa limejaa kwa siku nzima ni lazima alambe glucose ya kutosha..Ila wenzetu Ulaya wengi wana magari hili analiweka kwenye buti saaafi kabisa.
 
Kamwili kadogo sana nadhani ili abebe hili begi likiwa limejaa kwa siku nzima ni lazima alambe glucose ya kutosha..Ila wenzetu Ulaya wengi wana magari hili analiweka kwenye buti saaafi kabisa.
Hahahaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…