Mabegi makubwa ya kina dada yana beba vitu gani!

Mabegi makubwa ya kina dada yana beba vitu gani!

Ndani kuna hotpot lina mihogo, ukimtoa out atakula kidoogo, mkiachana anakula kona anafungua hotpot lake anatoa mihogo anashushia na azam kola.

Hahahahahah!! du! kumbee! ndo maana nawaona full kunenepa kisha akitolewa out hali! ukimuona wakati anakula mihogo yake na azam kola mfotoe kama huyo dada mwenye kiroba apo juu....
Big up ma boy! u nailed em!
 
kuna m1 yy kila baada ya nusu saa utamwona anaelekea choon! akirudi unapata jibu Pochi+choo=make up
 
Endeleen kuchangia bado hamjanishawishi, hasa wadada wa bongo, kwan nimeish ethiopia sijaona hyo tendence. Amyner kidogo unanena, kwan gf wangu huwa anabeba vtu kama vyako bt wth small beg.
 
Hahahahahah!! du! kumbee! ndo maana nawaona full kunenepa kisha akitolewa out hali! ukimuona wakati anakula mihogo yake na azam kola mfotoe kama huyo dada mwenye kiroba apo juu....
Big up ma boy! u nailed em!

Usihofu, ndo nna mpango wa kuwaletea picha soon.
 
Back
Top Bottom