Ndani kuna hotpot lina mihogo, ukimtoa out atakula kidoogo, mkiachana anakula kona anafungua hotpot lake anatoa mihogo anashushia na azam kola.
Nna bisha.. Haipo kabisa hii..
Hahahahahah!! du! kumbee! ndo maana nawaona full kunenepa kisha akitolewa out hali! ukimuona wakati anakula mihogo yake na azam kola mfotoe kama huyo dada mwenye kiroba apo juu....
Big up ma boy! u nailed em!