Nisubili hapo hapo nakujaMabegi mazito Shule za Kayumba za Kiingereza
Nini chanzo, madhara ya muda mfupi na mrefu, na ufumbuzi wa mabegi mazito shule za Kayumba za Kiingereza?
Watoto wadogo wanabeba mabegi mazito kulinganisha na uzito wao wenyewe, urefu na ukuaji -- kwenye shule nyingi zinazotumia lugha ya Kiingereza kufundishia.
Bora india waluona hivyo..mimi wangu yuko std six..mgongo unamsumbua..kumpeleka hosp..wakasema kisa mabegi..nikawafuata shule kuuliza kwanini wanatuulia watoto...nikasema ratiba ifuatwe..kama haitafuatwa na mtalazimisha mtoto abebe jibegi ntawafunga..maana mnamletea ulemavu wa kudumu kwa ujinga ujinga tu! Sasa huvi shule nzima inafuata ratiba..begi jepesi na mgongo umeacha. Tatizo hakuna umoja wa wazazi wenye makali..uluopo ni ule wa chama..ambao kazi ni kuombelezea wazazi kura! Wazazi wakisimama pamoja..tutasaidia sana mfumo wa elimu nchi hii.India walipiga marufuku hii kitu kwa hofu ya kuharibu uti wa mgongo.
Za Kiingereza za International ndio zinaweka lockers. Za Kiingereza za Kayumba (ambazo siyo international) ndio vinara wa kubebesha wanafunzi mabegi mazito.Za Kayumba shuleni hakuna locker kwa kila mwanafunzi ili kuhifadhi vitu vyao...
Za Kingereza wameweka utaratibu wa lockers kwa kila mwanafunzi kwa hiyo hawapati tabu ya kubeba kila kitu kila siku...
KobeFasheni