Mike Moe
JF-Expert Member
- Nov 3, 2019
- 319
- 335
Sio vichwa vya mabehewa ni mabehewa yenyeweWeka kapicha mkuu tuone ivyo vichwa vya mabehewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio vichwa vya mabehewa ni mabehewa yenyeweWeka kapicha mkuu tuone ivyo vichwa vya mabehewa
Wamechelewa hata hivyo. Waongeze umakini kwenye bundi na ngedere waoSafi sana TRC, chapa kazi tu, ziba masikio usisikie majungu kutoka pande zote
Haa wapi hakuna kitu kama hicho, hata Mwendokasi ulivyo aanza tukajua sasa wamiliki na madereva wa daladala watakufa njaa,sasa hivi watu wanaogopa Mwendokasi kama ukoma wote wamerudi kwa daladala kama kawa!!DUu njaa hiyo inakuja kwa madereva wa maroli..
Sema wewe ndio unahojiKuna mtu aliwahi hoji kwanini Hi reli isingekuwa yaelekea Zambia then DRC maana kwa njia ya huko ndo Salama kwa mizigo inayotoka Congo ,Ikiwa lengo la Reli ni kwaajili ya Kusafirisha mizigo.
Mabehewa 1400 yatakuwa na kazi gani kwa reli ya kati (kwa mizigo ya kutoka wapi kwenda wapi?)
Siyo vichwa, ni mabehewa ya mizigoWeka kapicha mkuu tuone ivyo vichwa vya mabehewa
😊😊😊😊Hongera kwa kazi nzuri
Hapa naomba kuelezwa kitu nipo nje ya mada!
Hapo naona meli iling'oa nanga 12th November mwaka huu kuja dsm !
Je meli inatumia siku ngapi kutoka china mpaka bandari ya dar es salaam?
Pili, kabla meli haijaingia bandarini huwa inakaa anchor rage , na ni siku ngapi meli inakaa anchor rage ili iingie bandarini kufunga ghati ?
Je ni meli zote zinaingia anchor rage au zingne kama hii iliyobeba bidhaa za umma zinaingia directly?
watu wa clearing, bandarini nisaidieni nijue Mshana Jr Mzee wa kupambania Dr am 4 real PhD
secretarybird njoo ujifunze
Yaje tu maana hii ya sasa nilituma mzigo mwanza to Dar tarehe 20 nimeambiwa mzigo wangu nitegemee tarehe 30 kwenda mbele...yanii kama Vile china ndogo 😁😁View attachment 3184742
Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kuwa mabehewa 264 ya mizigo yatakayotumika katika reli ya kiwango cha kimataifa - SGR yamewasili Bandari ya Dar es Salaam kutoka nchini China Disemba 24, 2024.
Zoezi la ushushaji kutoka kwenye Meli litakapokamilika litafuatia zoezi la majaribio ambalo litajikita katika kutembeza mabehewa hayo kwenye Reli yakiwa tupu na kisha yakiwa yamebeba mizigo. Mabehewa hayo yatakuwa yanatembea kwa kasi ya kilometa 120 kwa saa.
Majaribio hayo yatakamilika mara tu wataalamu wa Shirika la Reli wakishirikiana na wale wa mkandarasi watakaporidhika kuwa utendaji kazi wa mabehewa hayo umekidhi viwango kulingana na Mkataba.
Tarehe rasmi ya kuanza operesheni za mabehewa hayo, Shirika litauujulisha Umma.
Katika mabehewa hayo 264 yaliyowasili, 200 ni ya kubeba makasha (makontena) na mabehewa 64 ni ya kubeba mizigo isiyofungwa (loose cargoes).
Shehena hiyo ya mabehewa 264 ni sehemu ya jumla ya mabehewa 1,430 ambayo kwa mujibu wa mkataba yanatengenezwa na kampuni ya CRRC ya nchini China.
Novemba 15, 2024 Shirika liliutaarifu umma kuwa utengenezaji wa mabehewa 264 ya mizigo yatakayotumika katika reli ya kiwango cha kimataifa SGR umekamilika nchini China na Meli iliyobeba mabehewa hayo iling'oa nanga katika Bandari ya Dalian, China Novemba 12, 2024.
Nimeshatia timuHongera kwa kazi nzuri
Hapa naomba kuelezwa kitu nipo nje ya mada!
Hapo naona meli iling'oa nanga 12th November mwaka huu kuja dsm !
Je meli inatumia siku ngapi kutoka china mpaka bandari ya dar es salaam?
Pili, kabla meli haijaingia bandarini huwa inakaa anchor rage , na ni siku ngapi meli inakaa anchor rage ili iingie bandarini kufunga ghati ?
Je ni meli zote zinaingia anchor rage au zingne kama hii iliyobeba bidhaa za umma zinaingia directly?
watu wa clearing, bandarini nisaidieni nijue Mshana Jr Mzee wa kupambania Dr am 4 real PhD
secretarybird njoo ujifunze
Good work, good job, good,View attachment 3184742