Mabehewa 264 ya SGR ya kubeba Mizigo yawasili nchini

Na chuo cha reli tangu mwezi uliopita wametangaza nafasi za masomo kwa madereva wa treni ni kozi fupi tu kwa kipindi cha mwaka 1 tu sifa ni kwamba uwe na ordinary diploma au FTC ya mechanical, electrical hata telecom himizeni vijana, ndugu au watoto wenu wakasome mwisho wa maombi 30 Dec kwa mengi zaidi ni humu www.tirtec.co.tz
 
Sema wewe ndio unahoji
Hata hiyo itajengwa
 
Hongera kwa kazi nzuri

Hapa naomba kuelezwa kitu nipo nje ya mada!

Hapo naona meli iling'oa nanga 12th November mwaka huu kuja dsm !

Je meli inatumia siku ngapi kutoka china mpaka bandari ya dar es salaam?

Pili, kabla meli haijaingia bandarini huwa inakaa anchor rage , na ni siku ngapi meli inakaa anchor rage ili iingie bandarini kufunga ghati ?


Je ni meli zote zinaingia anchor rage au zingne kama hii iliyobeba bidhaa za umma zinaingia directly?

watu wa clearing, bandarini nisaidieni nijue Mshana Jr Mzee wa kupambania Dr am 4 real PhD
secretarybird njoo ujifunze
 
@
😊😊😊😊
Cc. DR HAYA LAND
 
Yaje tu maana hii ya sasa nilituma mzigo mwanza to Dar tarehe 20 nimeambiwa mzigo wangu nitegemee tarehe 30 kwenda mbele...yanii kama Vile china ndogo 😁😁
 
Nimeshatia timu
 
Good work, good job, good,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…