SI KWELI Mabehewa 30 na vichwa 2 vya treni za SGR mali ya TRC kupigwa mnada nchini Ujerumani

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Hapa ninachokisoma na kinachokanushwa ni vitu viwili tofauti, kwanza Watanzania tunapaswa kuambiwa ukweli

1. Taarifa ya TRC inasema vichwa vipya na mabehewa mapya, lakini ukweli ni kuwa ni vichwa mitumba na mabehewa mitumba ya mwaka '1947'...
Genius
 
Sasa mnakanusha kuzuiwa ama mnada ama kudaiwa na Euro Wagon?
 
Kama huu sio mpigo inawezeka vipi behewa moja la mtumba likafanyiwa ukarabati zaidi ya zaidi sh. Billion 2 na bila kutaja Hilo behewa lilinunuliwa sh.ngapi
 
Kazi ya TRC kwa sasa ni kukanisha kila taarifa maana ni shirika la umma lililofeli na kukosa mwelekeo
 
[QUOTE="Pascal Mayalla,

3. Hakuna ubaya nchi kununua vichwa mitumba na mabehewa mitumba, kitu muhimu ni Watanzania tuelezwe ukweli!




P[/QUOTE]

Hakuna ubaya, endapo Sheria hazijakiukwa.

Je Sheria ya manunuzi inasemaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Critical Thinking.. Pia Mayalla kuna sheria ya manunuzi inasema kwamba Taifa haliwezi kununua mitambo chakavu, Iweje TRC kununua mitambo chakavu?
Sheria hiyo ilibadilishwa, sasa rukhsa kununua mitambo chakavu, ile mitambo ya Richmond, Dowans, Simbion, tumeinunua sasa ni yeti!. Nasikia na mitambo ya IPTL imewashwa!, hivyo msishangae tukija kusukia mayo tumeinunua!.
P
 
Kama huu sio mpigo inawezeka vipi behewa moja la mtumba likafanyiwa ukarabati zaidi ya zaidi sh. Billion 2 na bila kutaja Hilo behewa lilinunuliwa sh.ngapi
Hapo inaonekana mapya yalipigwa mnada wakabidi waende kwenye chuma chakavu wakanunue zingine maana walikuwa washatuahidi kuleta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…