Mabeki na magolikipa nao wakifurika kuombewa itakuwaje?

Imani ina nguvu. Ile kuamini tu kuwa wameombwa inatosha kuongeza morari.
 
Naona kuna shida mahali na hawa wachezaji wa sasa na zaidi ni kwa hawa wa kutoka nje alianza mayele akaja nzengeli na Osborn wake now ni dube na ateba ila cha kushangaza mbona kina bwalya, Nonda na Okwi walikiwasha sana na hatukusikia habari ya majini why now sio bure kuna picha tunatengenezewa
 
Dube alitupiwa majini. Sasa anatupia kinyama
 
Back
Top Bottom