Dube kaombewa kwa sasa anatupia kinyamaKuna timu inawatunia mashehe,naona mijadala imekuwa mingi baada ya Ateba kuombewa via Biblia au ndo lile battle la Palestina na Wayahudi.
Dube alitupiwa majini. Sasa anatupia kinyamaNaona kuna shida mahali na hawa wachezaji wa sasa na zaidi ni kwa hawa wa kutoka nje alianza mayele akaja nzengeli na Osborn wake now ni dube na ateba ila cha kushangaza mbona kina bwalya, Nonda na Okwi walikiwasha sana na hatukusikia habari ya majini why now sio bure kuna picha tunatengenezewa
Maombi hayafanyi kazi kwa kila mtu mkuu, inategemea uhusiano wako na Mungu. Na mapenz ya Mungu kwako, na uzito wa jambo husika Ndiposa utakuta kuna mtu akiomba atafanikiwa , mwingine holaTaifa stars iombewe ibebe kombe la dunia 😂