Mabenki makubwa yavunja rekodi ya faida, yapata trilioni mbili

Yule handsome wenu haelewiki... Mara maridhiano, mara ushoga, mara mtatawala milele...

Yaani vurumai rupu.
Lissu hajaenda kuomba hela kwenye taasisi za upinde kwa ajili ya kampeni?
 
Nchi inamajitu majinga kama haya kupata maendeleo ni ndoto za mchana
Utapataje maendelea kwa uwepi wa wajinga wanaoshinda mitandaoni kutwa nzima kutafuta taarifa za upotoshaji tu ?unategemea hawa vijana wadogo wanaojiunga humu mnawafundisha nini zaidi ya kuwa negative 24/7 πŸ™†β€β™‚οΈπŸ™†β€β™‚οΈ
 
Kenge naye ni mnyama kama alivyo binadamu.

Hiyo faida inatokana na uwekaji mtaji ndani ya miaka hii minne au hizo faida ni muendelezo wa faida za hayo mabenki?

Au Samia aliyakuta yanapata hasara na ndiyo kwa mara ya kwanza yamepata faida?
Ngumu sana kuelimisha kenge walliomo humu
 
Mleta mada ni fima kama ilivyo kwa anaemsifia
 
Wapeni ajira au mitaji uone kama watashinda, nyie wenyewe UWT ni wapiga miziga pekee ndiyo maana ni chawa, hamfanyi kazi wajinga wakubwa nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…