Mabenki makubwa yavunja rekodi ya faida, yapata trilioni mbili

Mabenki makubwa yavunja rekodi ya faida, yapata trilioni mbili

Nchi inamajitu majinga kama haya kupata maendeleo ni ndoto za mchana
Utapataje maendelea kwa uwepi wa wajinga wanaoshinda mitandaoni kutwa nzima kutafuta taarifa za upotoshaji tu ?unategemea hawa vijana wadogo wanaojiunga humu mnawafundisha nini zaidi ya kuwa negative 24/7 🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Kenge naye ni mnyama kama alivyo binadamu.

Hiyo faida inatokana na uwekaji mtaji ndani ya miaka hii minne au hizo faida ni muendelezo wa faida za hayo mabenki?

Au Samia aliyakuta yanapata hasara na ndiyo kwa mara ya kwanza yamepata faida?
Ngumu sana kuelimisha kenge walliomo humu
 
Mleta mada ni fima kama ilivyo kwa anaemsifia
 
Utapataje maendelea kwa uwepi wa wajinga wanaoshinda mitandaoni kutwa nzima kutafuta taarifa za upotoshaji tu ?unategemea hawa vijana wadogo wanaojiunga humu mnawafundisha nini zaidi ya kuwa negative 24/7 🙆‍♂️🙆‍♂️
Wapeni ajira au mitaji uone kama watashinda, nyie wenyewe UWT ni wapiga miziga pekee ndiyo maana ni chawa, hamfanyi kazi wajinga wakubwa nyie
 
Back
Top Bottom