Unanipa moyo?! Upi?! Huo wa kuniambia nianzishe taasisi ya fedha ya kwangu, au?! By the way, mie nimeleta huu uzi hapa ili wadau waweze kuchangia mawazo kwa hoja...iwe kwa kukubali au kukataa! katika hali kama hiyo ndipo yanaweza kuibuka mambo mengi mengi zaidi ambayo mimi na wewe huenda hatuyajui!Wewe uliuliza tu "How liquid it's!" Hayo ndio mambo niliyotaka tujadili. Nikakuambia, NOT LIQUID AT ALL....!
Kwenye mjadala wa kisomi, hapo ndio ingekuwa ndio standing point kwamba, if not liquid at all; then how can we use it?" Badala yake, hapo hapo uka-conclude kwamba heri nianzishe taasisi ya fedha ya kwangu ndipo ni-introduce hiyo ki2....!!! Kwahiyo wewe uli-rely kwenye liquidity only and not otherwise!
Nilishasema kabla, usizani benki inachukua asset ya m2 ili iuze mteja akishindwa kulipa.....kuuzwa kwa asset ni last option kwa bank ! na ndio maana nikaeleza kabla, unakuta benki imetoa mkopo wa milioni 5, na inashikilia hati ya nyumba ya sh50m na bado ukichelewa siku moja kupeleka marejesho lazima wakufuatilie...hawasemi as far as tumeshikilia dhamana yenye thamani mara 5 ya mkopo, then shauri yake asipoleta marejesho coz' we can sell nyumba yake....!
Ukiangalia ukweli huo, utagundua kwamba lengo la dhamana ni kama kama chagizo la kumfanya mteja alipe na ndio maana mteja anapokuja kuonekana kwamba ana good track record, anaweza kupewa loan bila security! and am telling, kama mabenki wangekuwa na uhakika kwamba wateja ni waaminifu kwa 100%,then suala la security lisingekuwepo!
Unanipa moyo?! Upi?!
Huo wa kuniambia nianzishe taasisi ya fedha ya kwangu, au?! By the way, mie nimeleta huu uzi hapa ili wadau waweze kuchangia mawazo kwa hoja...iwe kwa kukubali au kukataa! katika hali kama hiyo ndipo yanaweza kuibuka mambo mengi mengi zaidi ambayo mimi na wewe huenda hatuyajui!Wewe uliuliza tu "How liquid it's!"
Hayo ndio mambo niliyotaka tujadili. Nikakuambia, NOT LIQUID AT ALL....! kwenye mjadala wa kisomi, hapo ndio ingekuwa ndio standing point kwamba, if not liquid at all; then how can we use it?"
Badala yake, hapo hapo uka-conclude kwamba heri nianzishe taasisi ya fedha ya kwangu ndipo ni-introduce hiyo ki2....!!! Kwahiyo wewe uli-rely kwenye liquidity only and not otherwise! Nilishasema kabla, usizani benki inachukua asset ya m2 ili iuze mteja akishindwa kulipa.....kuuzwa kwa asset ni last option kwa bank !
Na ndio maana nikaeleza kabla, unakuta benki imetoa mkopo wa milioni 5, na inashikilia hati ya nyumba ya sh50m na bado ukichelewa siku moja kupeleka marejesho lazima wakufuatilie...hawasemi as far as tumeshikilia dhamana yenye thamani mara 5 ya mkopo, then shauri yake asipoleta marejesho coz' we can sell nyumba yake....!
Ukiangalia ukweli huo, utagundua kwamba lengo la dhamana ni kama kama chagizo la kumfanya mteja alipe na ndio maana mteja anapokuja kuonekana kwamba ana good track record, anaweza kupewa loan bila security! and am telling, kama mabenki wangekuwa na uhakika kwamba wateja ni waaminifu kwa 100%,then suala la security lisingekuwepo!
In addition, kusema mbona hamna benki wanayofanya hiyo ki2, hiyo sio hoja hata kidogo! Always, watu inabidi watoe idea, ipingwe sana, lakini anatokea risk taker mmoja anaifanyia kazi ndipo wengine wanafuata! did u expect kwamba kampuni za simu zingeweza kutoa huduma ya bima?!
Leo hii Tigo wanatoa Life Insurance, free of charge...amount paid to customer is just calculated from wht customer spent (air time) a month before! lakini kwa watu ambao hawataki kukubali new ideas, bado wanasema: "HOW COME, lazima kuna wizi ndani yake!