Mkopaji (graduate) akifariki kabla ya kurejesha mkopo, benki itapataje hela zake?
Mara ya kwanza kutembelea nchi moja iliyoendelea kila sehemu niliyokwenda nilikutana na mabandiko mpaka kwenye mabaa "Caution C.C.T.V. in Operation" nikawa ninajiuliza kwa nini una mtaadharisha mwalifu, bila warning signs itakuwa rahisi kuwakamata, lakini baadae nikagundua madhumuni ni kudiscourage criminals from committing crimes.
Chance ya Graduates kupoteza hiyo mikopo ni 90%(usiniulize kwa nini) kama baadae hawezi kupata kazi kwasababu hawana vyeti ingawa wana elimu nzuri nini kitafuatia zaidi ya kuwa matapeli,majambazi,vibaka n.k?
In the long run this scheme will create waalifu ambao ni graduates
lakini nas, kitu ambacho nimeshaona kuhusu kuhodhi vyeti ni kuwa unakuta mtu ana kampuni yake, whether kasoma or not. anachukua vyeti vya waajiriwa wake. Vyeti orijino. Anavihifadhi kwa mkataba maalum wa ajira ya hao wasomi.mkataba ukiisha anawarudishia ama anahuisha mkataba.
Pia katika benki kuna ishu ya liquidity of an asset. How quick for instance can you turn a debtor into cash? Kile cheti ni asset sawa. How liquid is it?
NOT LIQUD AT ALL. Nazani mengine nimeyaeleza kwenye post zingine hivyo jaribu kuzipitia halafu u-comment (+ve/-ve) maelezo yenyewe.
hata finca na pride zilianza hivihivi. Hilo wazo lako kamwe mabenki hawawezi kulifanyia kazi, at least for now. Sasa ni wakati mzuri kwako kulifanyia kazi wazo lako kwa kuanzisha taasisi ya fedha kwa kuanza na product hiyo
mkuu wangu
pokea hizi changamoto urudi kwenye drawing board ukazifanyie kazi kwa uhalisia na si kwa nadharia, sidhani kama ni tija kubisha tuu na haitasaidia kama utakuwa unajibu kila post in defence of your idea
i wish you all the best
LAT< be serious!! Ukisema nabisha tu u're very wrong; why? Mtu anaebisha tu anabisha bila hoja! Lakini ninachofanya mimi ni kukifafanua kila kinachoonekana ni kikwazo....hiyo sio kubisha. Ingekuwa mtu anasema impossible due to ABC nami nasema hakuna kitu kama hicho...hiyo ndio inaweza kuitwa kubisha tu!
By the way, unafahamu kwanini nimeleta hapa hii ki2?! Nilifahamu from the begining wapo watakaobisha kwa hoja na wapo watakaobisha bila hoja na wapo watakao-support bila hoja! Na katika mazingira kama hayo ndipo kinapopatikana kitu best.
Nilichotarajia mimi, endapo mtu atasema kikwazo ni XYZ, nami nikasema hiyo XYZ inaweza kuwa treated this way; then mtu aanze tena kui-crticise hiyo "this way" na sio tena kurudi kwenye XYZ! Na hicho ndicho ninachokiomba wewe na crtitics wengine wakifanye! u know wht i mean?!
Asume issue under question ni tatizo la maji. Nikisema tatizo la maji tunaweza kutatua kwa kuchimba visima, critic asirudi tena kwa tatizo la maji, bali aseme hiyo issue ya visima haiwezekani due to ABC....(say) ardhi ya hapa mgumu sana kuweza kuchimba visima. Kama nitakuja tena na kusema suala la ardhi kuwa ngumu tunaweza kukabiliana nalo kwa kule strong drilling machines; then sitarajii tena mtu alete hoja ya kwamba ardhi ngumu....
Natarajia alete hoja kwamba kupata drilling machine ni ngumu sana....nikisema we can get drilling machine by doing XYZ, then reasonable criticism hapo isiwe na ni hard kupata strong drilling machine, bali hoja hapo iwe how hard doing XYZ.....mkienda that way, mtafika mwisho na ku-conclude kwavile mtakuwa mme-analyse all possible obstacles!!! Don' wish me all the best, this ain't me, but for us!! let's go that way!
NasDaz
please go back and re-test your research hypothesis
thanks
Well and good, nitafanya hivyo pindi nitakapopata reasonable criticism kwa kuniambia kila nilichokiandika kama solution hakiwezekani due to ABC! Na hiyo ABC nikishindwa kuitafutia solution, then nita-accept defeat. By the way, let me ask u something. Assume u're Business Development Manager in a certain bank.
Ur boss ni kama mimi, ambae anaamini this's pocbo, tatizo ni HOW! Na hivyo anakupa assignment ya kuangalia ni namna gani hii issue inaweza kufanyika. His/her last sentence anakumbia " i give u 3 days to work on it!" Je, utaniambia nini boss wako? "This's completely impossible boss!".......will this be ur answer LAT?!
Mind, his/her concern is how inaweza kufanyika, and not "inawezekana au haiwezekani!" will u give up tht easily?! will u resign from his/her team?!
I guess u're the type of the bosses who tell their team " if u wish 2 implement tht idea, then start ur own company and not the company i starved for....!" u can't go father tht way broda!!!
wakati mwingine nature inawalazimisha kuwa wajasiriamali ila hamtaki ama hamna uthubutu. Fanyia hiyo idea kazi! Na kama inakuwa ngumu kwako kufanyia kazi why uje kufanya pilot kwenye kampuni yangu? Mi nakupa moyo na wewe unapinga tu. Niambie ni benki ngapi zimekubaliana na wazo lako? Kama hakuna mbona unanipinga tu nikikuambia kuza wazo lako? Basi wewe si mjasiriamali bali mwanafursa tu.
NasDaz idea yako nimeikubali na itapunguza tatizo la ajira kwa magraduate we2. But baadhi yao wana akili ya kitoto ukimpa pesa anaenda kutesa na kujenga heshima baa kwani 2nawaona vyuoni. All in all your idea is good.
mkuu
dhamana ikubaliwayo na benki ni mali yenye thamani lakini mbona hutaki kujibu, basi na vyeti vya ndoa navyo tuviweke dhamana na passport nayo tuweke dhamana, be realistic thamani ya kifedha as an asset ya cheti cha kuhitimu ni nini, hivyo basi kubali kwamba Academic certificate is not an asset , period
kwanini pride wanakopesha kina mama kwa kuwekeza TV & freezer? vinathamani na vinauzika ku recover
justify risk compliance
jenga hoja ya kuwapa youth empowernment ili waende benki na wakopesheke mojawapi ya hiyo ni kuwa na sound government credit guarantees, serikali pia inaweza kupima mashamba mengi sana na kumilikisha wananchi kwa bei nafuu na kutengeneza policy (ambayo nadhani inakuja) ya kufanya mabenki yakopeshe wananchi kwa kutumia only piece of land as security
hata miti kwenye shamba inakubalika kama dhamana sembuse hicho kikaratasi unachokisema,
una hoja nzuri ya kuwawezesha vijana kukopesheka lakini siyo kwa style hiyo,
Unanipa moyo?! Upi?! Huo wa kuniambia nianzishe taasisi ya fedha ya kwangu, au?! By the way, mie nimeleta huu uzi hapa ili wadau waweze kuchangia mawazo kwa hoja...iwe kwa kukubali au kukataa! katika hali kama hiyo ndipo yanaweza kuibuka mambo mengi mengi zaidi ambayo mimi na wewe huenda hatuyajui!Wewe uliuliza tu "How liquid it's!" Hayo ndio mambo niliyotaka tujadili. Nikakuambia, NOT LIQUID AT ALL....!
Kwenye mjadala wa kisomi, hapo ndio ingekuwa ndio standing point kwamba, if not liquid at all; then how can we use it?" Badala yake, hapo hapo uka-conclude kwamba heri nianzishe taasisi ya fedha ya kwangu ndipo ni-introduce hiyo ki2....!!! Kwahiyo wewe uli-rely kwenye liquidity only and not otherwise!
Nilishasema kabla, usizani benki inachukua asset ya m2 ili iuze mteja akishindwa kulipa.....kuuzwa kwa asset ni last option kwa bank ! na ndio maana nikaeleza kabla, unakuta benki imetoa mkopo wa milioni 5, na inashikilia hati ya nyumba ya sh50m na bado ukichelewa siku moja kupeleka marejesho lazima wakufuatilie...hawasemi as far as tumeshikilia dhamana yenye thamani mara 5 ya mkopo, then shauri yake asipoleta marejesho coz' we can sell nyumba yake....!
Ukiangalia ukweli huo, utagundua kwamba lengo la dhamana ni kama kama chagizo la kumfanya mteja alipe na ndio maana mteja anapokuja kuonekana kwamba ana good track record, anaweza kupewa loan bila security! and am telling, kama mabenki wangekuwa na uhakika kwamba wateja ni waaminifu kwa 100%,then suala la security lisingekuwepo!
Unanipa moyo?! Upi?!
Huo wa kuniambia nianzishe taasisi ya fedha ya kwangu, au?! By the way, mie nimeleta huu uzi hapa ili wadau waweze kuchangia mawazo kwa hoja...iwe kwa kukubali au kukataa! katika hali kama hiyo ndipo yanaweza kuibuka mambo mengi mengi zaidi ambayo mimi na wewe huenda hatuyajui!Wewe uliuliza tu "How liquid it's!"
Hayo ndio mambo niliyotaka tujadili. Nikakuambia, NOT LIQUID AT ALL....! kwenye mjadala wa kisomi, hapo ndio ingekuwa ndio standing point kwamba, if not liquid at all; then how can we use it?"
Badala yake, hapo hapo uka-conclude kwamba heri nianzishe taasisi ya fedha ya kwangu ndipo ni-introduce hiyo ki2....!!! Kwahiyo wewe uli-rely kwenye liquidity only and not otherwise! Nilishasema kabla, usizani benki inachukua asset ya m2 ili iuze mteja akishindwa kulipa.....kuuzwa kwa asset ni last option kwa bank !
Na ndio maana nikaeleza kabla, unakuta benki imetoa mkopo wa milioni 5, na inashikilia hati ya nyumba ya sh50m na bado ukichelewa siku moja kupeleka marejesho lazima wakufuatilie...hawasemi as far as tumeshikilia dhamana yenye thamani mara 5 ya mkopo, then shauri yake asipoleta marejesho coz' we can sell nyumba yake....!
Ukiangalia ukweli huo, utagundua kwamba lengo la dhamana ni kama kama chagizo la kumfanya mteja alipe na ndio maana mteja anapokuja kuonekana kwamba ana good track record, anaweza kupewa loan bila security! and am telling, kama mabenki wangekuwa na uhakika kwamba wateja ni waaminifu kwa 100%,then suala la security lisingekuwepo!
In addition, kusema mbona hamna benki wanayofanya hiyo ki2, hiyo sio hoja hata kidogo! Always, watu inabidi watoe idea, ipingwe sana, lakini anatokea risk taker mmoja anaifanyia kazi ndipo wengine wanafuata! did u expect kwamba kampuni za simu zingeweza kutoa huduma ya bima?!
Leo hii Tigo wanatoa Life Insurance, free of charge...amount paid to customer is just calculated from wht customer spent (air time) a month before! lakini kwa watu ambao hawataki kukubali new ideas, bado wanasema: "HOW COME, lazima kuna wizi ndani yake!
ndugu nas, katika maelezo yako yote katika kunijibu nimeona maneno machache tu. '...anatokea risk taker mmoja na kulifanyia wazo kazi...' WHY NOT YOU THEN! Na katika mfumo wa maisha tunayoishi haitakaa itokee mabenki kutoa mikopo bila dhamana. Haitakaa itokee. Labda utuambie kuwa kuna kitu unakitaka ambacho hujakisema na unataka watu wakiseme.
Ama na wewe pia hukijui ila katika mjadala kitatokea chenyewe. Narudia tena, mabenki hawawezi kufanyia wazo lako kazi kwa sasa. Why not you to take the risk? And you said NOT LIQUID AT ALL. Make it liquid by initiating your financial institution