Mabenki ya bongo yanatisha personal info wanawaambia maadui wa wateja wao?

lwangam

Member
Joined
Oct 24, 2011
Posts
92
Reaction score
58
Mange Kimambi kasema hivi kuhusu Sintah.

''Wadada wa mujini bwana kwa mashindano ya kijinga. Mtu unakwenda kuchukua mkopo Access bank ufungue kaduka wakati hujui hata utaulipaje eti kisa Mange alikuita mlala hoi sasa inabidi uonyeshe watu wewe sio mlala hoi. Uwiii mtaja fungwa....... Acheni kunichokoza, mnauzi my fans alafu wananiletea data mpaka za bank''.

ION. Kawatukana sana Wazaramo.
''Haya shoga tujuze ukipata mjukuu tuje kukutunza......Maana wazaramo achievement ya mtoto wa kike ni kuvunja ungo, kukata viuno,kuolewa na kuzaa basi. Ila sikutegemea ungeeleta uzaramo nchi za watu''.

Nimeamua kutoa hela zangu benki za Tz niwe na balance ya kumaintian maisha yangu tuu.
Alafu nawasihi majirani zetu wa TZ, msikubli ukabila nchi yenu. Haya mambo uaanza na kudharau kabila zingine. :disapointed:
 
huyu mange nae aende kule....
kama huyo sintah akifungwa,ye atakuja kumtolea dhamana
 
na wewe naye umbea tu kisa cha kushinda blog ya mwenzio had kukop.
pyuuuu jobless
ila huyo mfanyakaz wa access lazma achukuliwe hatua na swala la mkopo sio aibu is a normal thing.
mama boi punguza mashauz
 
Mnapomchokoza Mange muwe mmejipanga, na yeye ana moyo huo huo kama wenu. Sinta alizidi sana kumchokonoa dada wa watu kisa apate kick kwenye blog yake, haya sasa tumeshajua data zako zote. Nashangaa kwa nini unamficha mwanao na kujidai hujaolewa shoga...unamkana mganda wako kweupee...mjini kazi kweli kweli.
 
haya kama umeshajua data zake zitakusaidia nini!!!!!
Sinta mange woote wale wale kasoro majina

kwa hiyo ya ngoswe mwachie ngoswe bidada
 
Mange Kimambi kasema hivi kuhusu Sintah.

''Wadada wa mujini bwana kwa mashindano ya kijinga. Mtu unakwenda kuchukua mkopo Access bank ufungue kaduka wakati hujui hata utaulipaje eti kisa Mange alikuita mlala hoi sasa inabidi uonyeshe watu wewe sio mlala hoi. Uwiii mtaja fungwa....... Acheni kunichokoza, mnauzi my fans alafu wananiletea data mpaka za bank''.

ION. Kawatukana sana Wazaramo.
''Haya shoga tujuze ukipata mjukuu tuje kukutunza......Maana wazaramo achievement ya mtoto wa kike ni kuvunja ungo, kukata viuno,kuolewa na kuzaa basi. Ila sikutegemea ungeeleta uzaramo nchi za watu''.

Nimeamua kutoa hela zangu benki za Tz niwe na balance ya kumaintian maisha yangu tuu.
Alafu nawasihi majirani zetu wa TZ, msikubli ukabila nchi yenu. Haya mambo uaanza na kudharau kabila zingine. :disapointed:

Hatimaye sinta aja na akaunti ya JF!
 
Duu watoto hawa wote ni wehuuu achaneni nao, dawa ni kuwapotezeaaa wotee wawili, hawana mpango kutwa kutukanana, ila tujuwe kuna watu wapambe wao wanafurahia haya maugomvi yao...
 
mwezi wa ramadhani,lakin kutwa wapo kutukanana!!!!!!!!
you can take a woman out of Tanzania but........
 
funny thing, wanaume hata wagombane vp huwasikii wakitoa siri zao.............. ila sisi mashostito mwee! afu baadae mnaombana msamaha huku kila mtu anajua ishu zenu! NONSENSE!
 
nilikuwa nampango wakwenda kukopa Access, kumbe ndivyo walivyo!!!! NIMEGHAHIRI.
 
Hivi huyu shetani Mange bado yuko duniani?jitu liko marekani ila kila siku kulumbana na watanzania. mtu mwenye kazi zake anakuwa busy na maisha yake hana muda wa chai, kama ukimtaka hadi umtafute. Shwaini mkubwa.
 
Back
Top Bottom