MABEPARI WA KIHAYA MPO TUKUMBUSHANE

MABEPARI WA KIHAYA MPO TUKUMBUSHANE

Bai ze wei, niko Bondeni meaning kwa Madiba napata Dinner ya Chips na senene na asali ya nyigu, nitarudi kulala Dubai, then Breakfast nitapata Paris

Iwe bhojo,oh nipo hapa New York City nikiwa na Niwemugizi pamoja na Papaa Jack Pemba tunapitia bajeti ya kile chuo chetu kule Kagera itakuwaje.
 
Iwe bhojo,oh nipo hapa New York City nikiwa na Niwemugizi pamoja na Papaa Jack Pemba tunapitia bajeti ya kile chuo chetu kule Kagera itakuwaje.
Okay saghwa, mkishakubaliana, muilete Jerusalem kesho mchana nitakuwa pale niwape cash kidogo niko nayo ila haina matumizi ni dolar milioni 380,nitawapa mkajengee msingi
 
Back
Top Bottom