Mabere Nyaucho Marandu yuko CCM, wala hayuko NCCR Mageuzi.
Habari za kipashkuna kama hizi ni za kuzipuuza kabisa, na zina wafanya hatters wapate sababu ya kusema kuwa JF imekufa.
Aiyaahh!! agent wa TISS kaingia kazini
Wapenda mageuzi wote yatupasa kuwa na subira na kumpa nafasi mabere ili aweze kupimwa na wanachama.
Itakuwa hatari kama anaingia na kupewa uongozi wa juu wa chama, vinginevyo tusianze kumlaumu bila kutathmini as time goes on.
Chonde chonde mpeeni nafasi ya kupimwa.
Aiyaahh!! agent wa TISS kaingia kazini
Positive move!
Aiyaahh!! agent wa TISS kaingia kazini
Je kazi za TISS na agents wao ni kusambaratisha vyama?
Kama kweli basi kuna haja ya kuunda taasisi nyingine ya kuwasambaratisha kwa kuwa nchi yetu ni ya vyama vingi!!