Wewe mleta mada mbona hufunguki tukuelewe na kama ni wewe mwenyewe Makubi tuelezee kiini cha tatizo lako!Imechukua muda mrefu sijasikia sauti ya Mabere Mkaubi wa ITV. Kwa Mikoa ya Kanda ya Ziwa Mabere Makubi amekuwa akiripoti habari kupitia kituo chenu habari ya uhakika na kwa kweli Mabere Makubi anapendwa sana na wananchi wa Kanda ya Ziwa kutokana na umahiri wake. Inawezekana kuwa kuna tofauti kati ya Mabere na mtu fulani lakini mnatakiwa mfuatilie chanzo cha tofauti na kulitolea uamuzi badala ya mtu kukaa kijiweni. Mabere ni mwandishi nguli na Kanda ya Ziwa tunampenda kutoa habari zake upitia kituo chenu cha ITV.
Sababu kaanza kujihami au🏃🏃Wewe mleta mada mbona hufunguki tukuelewe na kama ni wewe mwenyewe Makubi tuelezee kiini cha tatizo lako!
Anaficha ficha,inasemekana Mwandishi huyu Ana wekewa zengwe na RC was hapo Mwanza kisa Mwandishi Ali report lile tukio la Machinga kufukuzwa na kunyanyaswaWewe mleta mada mbona hufunguki tukuelewe na kama ni wewe mwenyewe Makubi tuelezee kiini cha tatizo lako!
Ushahidi unaoAlikuwa mpigaji sana huyu, amewaumiza watu wengi sana huyu
Ndio ukihitajika ntawasilishaUshahidi unao
Kwa sasa yupo chanel ten kahamua hukoInasemekana alitimuliwa baada ya kutaka mlungula kwa mshikaji ili asitoe habari zake,mabosi wake walivyogundua wakampiga kalamu