Kuna siku twitter, miss bulaya alipost sebule yake lakini watu walimshambulia kwa sababu tu kulikuwa na picha ya miss mdee. Watu wakahoji ni urafiki gani wa namna hiyo
Binafsi ukiniuliza naona wao ndio wanajua ni nini kinaendelea kati yao lakini pia bado naamini kwenye true friendships japo siku hizi ni kama zinapotea