Mabeste anatuhitaji Wana-JamiiForums

pole sana mkuu, ila naomba confirmation kama ni story ya kweli maana watu wengi wamekua wakitapeli kwa kutumia majina ya wasanii.
 
Pole yake jamani.
Mwenyezi Mungu amsaidie!

Mkuu Interest hiyo namba hata kwa mtandao mwingine pia tunaweza tukatuma tu au mpaka kwa tigo pesa pekee?
 
Last edited by a moderator:
Kuna kajamaa ka bongo fleva kanajifanya kana billioni kwenye account yake,hebu amsaidie msanii mwenzake
 
Kuna watu uwa wanasema siku hizi hakuna true love ila awa jamaa ni ushahidi kuwa mapenzi ya kweli bado yapo. Mabeste na mkewe wametoka mbali Mungu awapitishe kwenye huu mtihani salama. Watu mnapoanza kuona dalili za neema alafu yanatokea km hivi noma sana mazee.

Tutajipiga tumsapoti mnyamwezi japo mkono unapofikia.

Cc Muuza Sura huyu mtu anawahusu sana msijikaushe.
 
Last edited by a moderator:
Huyu jamaa ana stahili pongezi kabisa kwa jambo hili kwa kusimama na mkewe katika hali hii! Wengi hupumbazwa na ustaa wakipatwa jambo wanashindwa kusema hata kama hawawezi kulitatua.

Anastahili pongezi kwa hilo.... japo nimeona yule suma mnazaleth kamdiss kweli... maana hadi mtu kuomba msaada ujue katingwa haswa
 
aiseee.....pole sana.....Mungu awasimamie katika hili.....
 
Anastahili pongezi kwa hilo.... japo nimeona yule suma mnazaleth kamdiss kweli... maana hadi mtu kuomba msaada ujue katingwa haswa

Huyo Suma naye ana maneno makali sana.Si bora ajitulize tu kama hachangii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…