prakatatumba
JF-Expert Member
- Oct 17, 2011
- 1,328
- 191
pole sana mkuu, ila naomba confirmation kama ni story ya kweli maana watu wengi wamekua wakitapeli kwa kutumia majina ya wasanii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok., ngoja nimalizane na ndugu zangu kantalamba kwanza.
pole sana mkuu, ila naomba confirmation kama ni story ya kweli maana watu wengi wamekua wakitapeli kwa kutumia majina ya wasanii.
pole sana mkuu, ila naomba confirmation kama ni story ya kweli maana watu wengi wamekua wakitapeli kwa kutumia majina ya wasanii.
Kuna watu wanahack mkuu na kufanya yao he must come to justify the truthIngia ukurasa wake insta mabestetanzania utaikuta hii taarifa asantee
Uliomtambulisha waitwa"baadae sana"
Asante mkuu kwa kunifahamisha
I hope wasanii ambako wako busy ku repost ujumbe wake.. watakua busy kumchangia pia
Huyu jamaa ana stahili pongezi kabisa kwa jambo hili kwa kusimama na mkewe katika hali hii! Wengi hupumbazwa na ustaa wakipatwa jambo wanashindwa kusema hata kama hawawezi kulitatua.
Anastahili pongezi kwa hilo.... japo nimeona yule suma mnazaleth kamdiss kweli... maana hadi mtu kuomba msaada ujue katingwa haswa
Huyo Suma naye ana maneno makali sana.Si bora ajitulize tu kama hachangii?