Comment ya suma cjaiona...unaweza ukarepost???
Too much mnyamwezi!Ebwana Huyu Mnyamwezi Mimi Namkubali Sana.Ana Ngoma Yake Moja Inaitwa DOLE Video Yake Naikubali Sana.
Istoshe Nampongeza Sana Mnyamwezi Kwa Kuweka Usupastar Pembeni Na Kuweka Afya Ya Mkewe Mbele.Huo Ndo Uanaume Na Inaonesha Anamapenzi Ya Dhati Kwa Mkewe
Wadau Tushikamane Kumpiga Tough Mnyamwezi.Na Mimi Mwenyewe Binafsi Naahidi Kujikuna Mpaka Ntakapofikia
Pole Sana Mnyamwezi Mabeste.Taarifa Imetufikia Na Tupo Pamoja Kwa Hali Na Mali!