Mabeste anatuhitaji Wana-JamiiForums

Mabeste anatuhitaji Wana-JamiiForums

pole sana
inaumiza sana

wewe ni mwanaume wa kipekee angelikuwa mwingine angeshamtosa.
 
Huu ndio UPENDO WA KWELI mabeste Mungu atakusaidia wife atapona. Umeonesha mfano mzr sana kwa watu kujali wapendwa wao. Ngoja nikupunguzie kakitu kidogo
 
du pole sana bro,mi nntakuombea dua tu bro mungu akufanyie wepesi.
 
Ebwana Huyu Mnyamwezi Mimi Namkubali Sana.Ana Ngoma Yake Moja Inaitwa DOLE Video Yake Naikubali Sana.

Istoshe Nampongeza Sana Mnyamwezi Kwa Kuweka Usupastar Pembeni Na Kuweka Afya Ya Mkewe Mbele.Huo Ndo Uanaume Na Inaonesha Anamapenzi Ya Dhati Kwa Mkewe

Wadau Tushikamane Kumpiga Tough Mnyamwezi.Na Mimi Mwenyewe Binafsi Naahidi Kujikuna Mpaka Ntakapofikia

Pole Sana Mnyamwezi Mabeste.Taarifa Imetufikia Na Tupo Pamoja Kwa Hali Na Mali!
Too much mnyamwezi!
Toa mchango and keep mnyamwezi for yourself!
 
Pole sana! ila hapa ni penyewe kwa wanabongo fleva kudhihirisha ukuu wao kwa kutoa japo cha kudondoshea kwenye bakuli la mabeste,sio mapicha ya majumba na magari na wenza wao!
 
Back
Top Bottom