Mbona umetaja mikoa na kata moja ya tabata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanawake wanaotoka Singida wanafaa kuolewa na wanaume wa hukohuko tu, sijawahi kukutana na mwanamke wa Singida mwenyewe akili na aliyetulia. Ndo maana wengi ni wahudumu wa baa Dodoma, Arusha, Mbeya na Tabata.
Hahaha!Wanaume kwenye Kikao chao wakimseng'enya Lisa
Inamaana uyu chalii ni rafiki wa mabest?Pia ghafla kimbola itakua imeisha nguvu atajishangaa sana imekuaje amezaa na mke wa rafiki yake tena mwenye watoto naye wawili.
Buddah iyo kitu unayosema ni kweli man?huyo mwamba nasikia ndio alikuwa anamsaidia sana mke wa mabeste kipindi jamaa alipokuwa amechoka seems alikuwa nakula mzigo kitambo tuu na yeye ndio anae somesha watoto wa mabeste daamn it
Best friend na jamaa anamiliki studio ya video so mabeste alikua anafanya naye projects za video zake n.k mabeste vyuma vilikaza so wakienda outing na dogo na bibie bill analipa bwana mdogo, wakikosa nauli anawapa, wakikwama jambo dogo la pesa hakusita kuwasaidia sasa ndiyo hapo bibie akawa anawasilisha matatizo ya ndoa yake kwa huyu dogo bubaa wife akadai talaka akaolewa na dogo.
Sio hapa jiran na Tanga?
Tabata ndo home, hiyo mikoa ndo nilikowakuta wengi sanaMbona umetaja mikoa na kata moja ya tabata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh sema kuna kitu tunajifunza kwa hii story ya mabeste asee... Nawaza tu uyo chalii anajisikiaje aliyeowa mke wa jamaa!!! Na hii ilitakiwa impe nguvu mabeste kama upo humu chalii angu mabeste acha kupiga pombe focus kwenye kazi yako mziki unalipa jipange vizuri bro tafuta pesa kwa hasira!!! Yani piga kazi usiku na mchana hasira yako hamishia kwenye kazi mzee ukiwa na pesa amini ipo siku hii itakuwa kama historia iliyowai kukutokea na utasahau... Pambana ulee machalii wako wanao. Maana uyu kenge anaendelea kuleta zarau akiwa analea wanao... Chapa kazi mzee acha pombe na fegi zitakupotezea timing... Hii story imenisikitisha sana asee wakuuBest friend na jamaa anamiliki studio ya video so mabeste alikua anafanya naye projects za video zake n.k mabeste vyuma vilikaza so wakienda outing na dogo na bibie bill analipa bwana mdogo, wakikosa nauli anawapa, wakikwama jambo dogo la pesa hakusita kuwasaidia sasa ndiyo hapo bibie akawa anawasilisha matatizo ya ndoa yake kwa huyu dogo bubaa wife akadai talaka akaolewa na dogo.
Umefatilia huko alikoenda mhusika kipindi hiki? Huenda huko alipo hali imekua mbaya sa hivi ndo mana anajutia [emoji3][emoji3][emoji3]....kwahiyo kiufupi huyo ni mtafuta fursa tuna hapa ndio utazijua kiundani akili za wanawake sasa.
unajua hii bana ilikiwa model couple yangu hii,nilikuwa nafurahi sana kuiona.but ukiangalia kwa umakini mwanamama anatumia muda mwingi sana insta kutuaminisha mambo yako poa upande wake,ila kwa wataalam wa saikolojia tunaona tofauti.
anyway[emoji2211][emoji2211]mjinga atakiwa mabeste akimkrudia.
niliachwa na mwanamke kisa uchumi,nilihisi maisha yangu ndio yamefika mwisho.imagine pesa huna,na mpenzi anakuacha,utaambia nini waatu[emoji1787][emoji1787].
but thank nilijikaza kiume,na hatimaye mhusika japo aliishaolewa anakiri alikosea sana,sijui anakosa nini huko!!!!
Naona uchumi umekaa sawa baada ya kujipendekeza hapo Lumumba.na hapa ndio utazijua kiundani akili za wanawake sasa.
unajua hii bana ilikiwa model couple yangu hii,nilikuwa nafurahi sana kuiona.but ukiangalia kwa umakini mwanamama anatumia muda mwingi sana insta kutuaminisha mambo yako poa upande wake,ila kwa wataalam wa saikolojia tunaona tofauti.
anyway[emoji2211][emoji2211]mjinga atakiwa mabeste akimkrudia.
niliachwa na mwanamke kisa uchumi,nilihisi maisha yangu ndio yamefika mwisho.imagine pesa huna,na mpenzi anakuacha,utaambia nini waatu[emoji1787][emoji1787].
but thank nilijikaza kiume,na hatimaye mhusika japo aliishaolewa anakiri alikosea sana,sijui anakosa nini huko!!!!
buku 7 siku hizi hazipo.ndio maana watu kama katibu mstaafu na wenzie wakaanza majungu,maana wao ndio walikuwa wasimamizi.Naona uchumi umekaa sawa baada ya kujipendekeza hapo Lumumba.
Nipe connection basi sio vizuri kula buku 7 mwenyewe
binafsi kama ilivyokuwa mtazamo wake,amengukia kwenye fulsa nzuri zaidi,lakini yeye anasema haoni tofauti,means yaliyomo hayamo.Umefatilia huko alikoenda mhusika kipindi hiki? Huenda huko alipo hali imekua mbaya sa hivi ndo mana anajutia [emoji3][emoji3][emoji3]....kwahiyo kiufupi huyo ni mtafuta fursa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe dili mkuu! Au hutaki na sisi tuanze kusifu na kuabudu. Mtaani hali tetebuku 7 siku hizi hazipo.ndio maana watu kama katibu mstaafu na wenzie wakaanza majungu,maana wao ndio walikuwa wasimamizi.
naskia ufipa kwa dj mstaafu ndio kuna mtonyo balaa,unakula 4500 per day kama nyangali.
bavicha kumenoga,4500 kwa siku.sharti usihoji fikra za mwenye chama.Nipe dili mkuu! Au hutaki na sisi tuanze kusifu na kuabudu. Mtaani hali tete