Mabeste kwisha habari yake, wazee waombwa kuingilia kati

Wanawake wanaotoka Singida wanafaa kuolewa na wanaume wa hukohuko tu, sijawahi kukutana na mwanamke wa Singida mwenyewe akili na aliyetulia. Ndo maana wengi ni wahudumu wa baa Dodoma, Arusha, Mbeya na Tabata.
Mbona umetaja mikoa na kata moja ya tabata [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema n swala la muda tu kama kweli mabeste yeye anajua hakuna alichokosea kwa aliyekuwa mke wake atulie na asipaniki.. Time will tell ma nigga!!! Ila chalii asee ni kwere unakula shemeji mpaka mimba ndo sababu sitaki usela kwenye familia yangu... Huwa wanasemaga bro wewe mtata afu kauzu ila kwa upuuzi huu sitaki marafiki om kwangu kabisa wala kujiusisha na mambo ya familia yangu... This is real shit men

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana uyu chalii ni rafiki wa mabest?

Sent using Jamii Forums mobile app
Best friend na jamaa anamiliki studio ya video so mabeste alikua anafanya naye projects za video zake n.k mabeste vyuma vilikaza so wakienda outing na dogo na bibie bill analipa bwana mdogo, wakikosa nauli anawapa, wakikwama jambo dogo la pesa hakusita kuwasaidia sasa ndiyo hapo bibie akawa anawasilisha matatizo ya ndoa yake kwa huyu dogo bubaa wife akadai talaka akaolewa na dogo.
 
Duuh sema kuna kitu tunajifunza kwa hii story ya mabeste asee... Nawaza tu uyo chalii anajisikiaje aliyeowa mke wa jamaa!!! Na hii ilitakiwa impe nguvu mabeste kama upo humu chalii angu mabeste acha kupiga pombe focus kwenye kazi yako mziki unalipa jipange vizuri bro tafuta pesa kwa hasira!!! Yani piga kazi usiku na mchana hasira yako hamishia kwenye kazi mzee ukiwa na pesa amini ipo siku hii itakuwa kama historia iliyowai kukutokea na utasahau... Pambana ulee machalii wako wanao. Maana uyu kenge anaendelea kuleta zarau akiwa analea wanao... Chapa kazi mzee acha pombe na fegi zitakupotezea timing... Hii story imenisikitisha sana asee wakuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari imepostiwa 2015 mwezi wa nane na habari leo,kipindi mke wake mabeste anaumwa na inaonyesha jinsi gani jamaa alivyo pambana kumuuguza mke wake bega kwa bega mpaka akaja kupona.
‘Ugonjwa wa mke wangu umeniweka mbali na muziki’
Screenshot_20200515-212653.png

Screenshot_20200515-212716.png

Ila si wanaume ndio maana tuna miaka michache ya kuishi duniani,yaani jamaa kujitoa kote mwanamke kashindwa kuliona hili.
 
  • Thanks
Reactions: THT
na hapa ndio utazijua kiundani akili za wanawake sasa.

unajua hii bana ilikiwa model couple yangu hii,nilikuwa nafurahi sana kuiona.but ukiangalia kwa umakini mwanamama anatumia muda mwingi sana insta kutuaminisha mambo yako poa upande wake,ila kwa wataalam wa saikolojia tunaona tofauti.

anyway[emoji2211][emoji2211]mjinga atakiwa mabeste akimkrudia.
niliachwa na mwanamke kisa uchumi,nilihisi maisha yangu ndio yamefika mwisho.imagine pesa huna,na mpenzi anakuacha,utaambia nini waatu[emoji1787][emoji1787].

but thank nilijikaza kiume,na hatimaye mhusika japo aliishaolewa anakiri alikosea sana,sijui anakosa nini huko!!!!
 
Umefatilia huko alikoenda mhusika kipindi hiki? Huenda huko alipo hali imekua mbaya sa hivi ndo mana anajutia [emoji3][emoji3][emoji3]....kwahiyo kiufupi huyo ni mtafuta fursa tu

Naona uchumi umekaa sawa baada ya kujipendekeza hapo Lumumba.
Nipe connection basi sio vizuri kula buku 7 mwenyewe
 
buku 7 siku hizi hazipo.ndio maana watu kama katibu mstaafu na wenzie wakaanza majungu,maana wao ndio walikuwa wasimamizi.

naskia ufipa kwa dj mstaafu ndio kuna mtonyo balaa,unakula 4500 per day kama nyangali.
 
Umefatilia huko alikoenda mhusika kipindi hiki? Huenda huko alipo hali imekua mbaya sa hivi ndo mana anajutia [emoji3][emoji3][emoji3]....kwahiyo kiufupi huyo ni mtafuta fursa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
binafsi kama ilivyokuwa mtazamo wake,amengukia kwenye fulsa nzuri zaidi,lakini yeye anasema haoni tofauti,means yaliyomo hayamo.
 
buku 7 siku hizi hazipo.ndio maana watu kama katibu mstaafu na wenzie wakaanza majungu,maana wao ndio walikuwa wasimamizi.

naskia ufipa kwa dj mstaafu ndio kuna mtonyo balaa,unakula 4500 per day kama nyangali.
Nipe dili mkuu! Au hutaki na sisi tuanze kusifu na kuabudu. Mtaani hali tete
 
Back
Top Bottom