Mabeste kwisha habari yake, wazee waombwa kuingilia kati

Hivi huyo mke wake mabeste aliponaga ule ugonjwa aliokuwa ana changishiwa kwa mitandao?!
Alipona aisee. Nakumbuka zile hustle za Mabeste na show ikafanyika kumchangia. Dah. Hivi viumbe aisee acha tu.
 
Dah! Yani pamoja na yote hayo bado binti kaenda lowekwa kwingine?!?
Kweli kosea vyote usikosee kuoa.
 
Back
Top Bottom