mabibi na mabwana karibuni kwenye kitchen party ya YNNAH!!!!!

mambo?eti utajaribu nini??
Cc Madame B
Mambo yametulia tu...Amu
ntajaribu kuona "uwazi" kwa Wadada nione kama kweli huwa wanakuwa wawazi kwenye hiyo naniii tutakapoalikwa....
cc Madame B
 
Dah siku zimesogea hatimae
 
yani kumbe leo ndo 6/12/2013 nilikuwa nimesahau jamani wapi kaka Mwanyasi
akaenda kula ndyofu nini?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…