mabibi na mabwana karibuni kwenye kitchen party ya YNNAH!!!!!

Mungu atakupa uzao kama alivyompa mtumishi wake
......... soma hapa
[TABLE="width: 655"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 80, bgcolor: transparent"]1 Samweli[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]2[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]21[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Naye Bwana akamwangalia Hana, naye akachukua mimba, akazaa watoto, wa kiume watatu na wa kike wawili. Naye huyo mtoto Samweli akakua mbele za Bwana. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

my dada huo wimbo wa Kimasomaso umenikumbusha mbali jamani

I hope mwali wetu YNNAH lazima ana furaha siku ya leo
 
Last edited by a moderator:
chereko chereko waliosema haolewi mbona ananolewa halo halo hahlooooooooo!
YNNAH mwanamke chumba cha kulala hakikisha chumba kinakua kisafi wakati wote bila kusahau mambo ya udi au air freshener hakutakiwi kuwa na makorokoro mengi kitanda kabati la nguo na dressing table na kikochi cha siti moja si unajua tena ....

Dada habari iko kitandan,kitanda ndio kila kitu baada ya mihangaiko na shuhulizo zote za kutwa nzima kitandani ndio hitimisho la mambo yote epuka kuweka manguo kitandani hakikisha kitanda kinakuwa kisafi na kimetandikwa vizuri wakati wote chagua shuka zenye rangi za mahaba hasa nyeupe na pink .

 
Last edited by a moderator:
YNNAH dada mkubwa Fixed Point is on point! zingatia haya sana!

Ukishatulia baada ya ndoa sasa.....tafura hichi kitabu

 
Last edited by a moderator:
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mi mgeni wa hayo yote, yaani hapa nimeshika peni na pencil! Kwa pamoja naandika, nachora na napaka rangi vile vile!
 
jamaniiiiiiiiiiiiii amu msosi saa ngapiiii...................naskia njaa.................:mimba:
 
Last edited by a moderator:
Reactions: ghd

werereeeeeeeeeee tena shuka puya kotoni siyo zinazotoa upele na ud wa ukweee aliomletea Zinduna kutoka Zenji siyo udi kama sukari guru
 
Last edited by a moderator:
Rejao ndiyo maana haonekani, kazi ipo!
 
Last edited by a moderator:

werereeeeeeeeeee tena shuka puya kotoni siyo zinazotoa upele na ud wa ukweee aliomletea Zinduna kutoka Zenji siyo udi kama sukari guru bibiwe inahuuuu!!
 
Last edited by a moderator:

werereeeeeeeeeee tena shuka puya kotoni siyo zinazotoa upele na ud wa ukweee aliomletea Zinduna kutoka Zenji siyo udi kama sukari guru bibiwe inahuuuu!!
 
Last edited by a moderator:
shosti huna la kuongezea??au unataka bibie asikae??mwite shansharie ladydoctor namuona yupo busy na vitu vya mabibo wine

Shostie..... kwa mlinivyonikuna mi leo naomba tu mniruhusu niwe nacopy na kupaste!!

shansarie kuja pande hii bana, uwepo wako ni wa muhimu sana, muache kiwatengu kwa muda!
 
Last edited by a moderator:
Paloma bado hujamkabidhi mwali zawadi yake
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…