D
Unasubiri nini? Au ndio unawaulia kwenye mipira mkuu[emoji23]Wakina bibi wanaupendo wa ajabu kwa wajukuu zao nakumbuka kipindi nipo mdogo pale Masaki kwa bibi tulikua tunalelewa kizungu sana tofauti na tukiwa home....
Nimecomment nikiwa upande wa ujukuu mana mtoto sina
Hahah! Bado tu sijaamua mkuuUnasubiri nini? Au ndio unawaulia kwenye mipira mkuu[emoji23]
Bado nasubiria hapaHawapo sahihi...nitarudi kudadavua na katrue story juu
Nazidi kujipatia uhakika kuwa shemeji yangu ni bado katoto[emoji125] [emoji125]Wakina bibi wanaupendo wa ajabu kwa wajukuu zao nakumbuka kipindi nipo mdogo pale Masaki kwa bibi tulikua tunalelewa kizungu sana tofauti na tukiwa home....
Nimecomment nikiwa upande wa ujukuu mana mtoto sina
[emoji23]Nazidi kujipatia uhakika kuwa shemeji yangu ni bado katoto[emoji125] [emoji125]
Haaa...saa hizi kutype siwezi nawaangalia mabingwa watarajiwa wa uefaBado nasubiria hapa
Hahah!! Shem kwakweli nimekushindwa [emoji119]Nazidi kujipatia uhakika kuwa shemeji yangu ni bado katoto[emoji125] [emoji125]
Ndo mana umenisahau mpaka mimi eeHaaa...saa hizi kutype siwezi nawaangalia mabingwa watarajiwa wa uefa
Shem niko na wewe mpaka unipe umri wako sahihi,waweza kua kibenten wewe ujueHahah!! Shem kwakweli nimekushindwa [emoji119]
Amu hiya foyu beibeNdo mana umenisahau mpaka mimi ee
Hahah! shemu utanidhalilisha mbele ya watu ukueShem niko na wewe mpaka unipe umri wako sahihi,waweza kua kibenten wewe ujue
Amu weiting fo yua tru stori habiAmu hiya foyu beibe
Haiwezekani shem wewe eti utotoni mwako ndo uwe umecheza gemu la nyoka(snake xenzie)means utoto wako ulikua kweny miaka ya 2004 na kuendelea wakati huo sisi wengine tumeshakuwa wahenga wa muda mrefu tu...Hahah! shemu utanidhalilisha mbele ya watu ukue
..
[emoji125] [emoji125][emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23] embu niacheHaiwezekani shem wewe eti utotoni mwako ndo uwe umecheza gemu la nyoka(snake xenzie)means utoto wako ulikua kweny miaka ya 2004 na kuendelea wakati huo sisi wengine tumeshakuwa wahenga wa muda mrefu tu...
Na haiwezekani eti wewe ulelewe kizungu na bibi wakati wengine maisha ya uzungu tumeyaanzisha sisi kwa wajukuu zetu.
Shemu ntakuja na kauli mbiu ya
"DAVET ONESHA CHETI CHA KUZALIWA"