D
Deleted member 485868
Guest
Habari zenu wa JF
Leo naomba tujadili namna Mama zetu wanavyolea watoto wetu
Hivi ni sahihi Bibi kumtetea mjukuu pale unapomuadhibu hata kama amekosa?
Wewe kama mzazi wachukuliaje suala la malezi ya bibi kwa mjukuu wake?
Je! Malezi wanayowapa/kuwadekeza na kuwaendekeza hawa watoto wetu ni sahihi?
Nawakilisha