Mabibi na uleaji mbaya wa wajukuu

  • Thread starter Thread starter Deleted member 485868
  • Start date Start date
My brother naomba nideclare interest kwenye hili. Mimi mzazi wangu mmoja alifariki nikiwa na miaka 4 mzee wetu hakuoa tena alitulea sisi wenyewe 3 na kila mmoja alijua kupika na kufanya kila kitu awe wa kike au wa kiume na kulisha ngombe na mbuzi na kuku na sasa kila mtu ni mzima na anajitegemea. cha msingi kila mtu achukue jukumu la kulea watoto wake haya mambo ya kulea au watoto kulelewa na wengine siyo tabia nzuri kabisa.
 
Mimi ni ke..sawa nimeelewa ulichoandika lakini kuna wakati inabidi upeleke mtoto kwa Bibi kulingana na hali uliyonayo
 
Ulipokuwa mdogo ulikuwa hutaki kuchapwa na ulitaman mkubwa wa mzazi wako atokee akutetee, sasa mwanae nae yupo kama wewe ila inatokea kakuzid bahati yeye ana bibi lazima atetewe kama wewe ulivotamani, Hii inaitwa malipo ni hapa duniani.
La pili, asipomtetea atamtuma nani kwenye vi ishu vya kijinga kama kaniletee hiki au kile, kwahyo akimtetea anajenga urafiki na mtoto, ila sio sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…