Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
My brother naomba nideclare interest kwenye hili. Mimi mzazi wangu mmoja alifariki nikiwa na miaka 4 mzee wetu hakuoa tena alitulea sisi wenyewe 3 na kila mmoja alijua kupika na kufanya kila kitu awe wa kike au wa kiume na kulisha ngombe na mbuzi na kuku na sasa kila mtu ni mzima na anajitegemea. cha msingi kila mtu achukue jukumu la kulea watoto wake haya mambo ya kulea au watoto kulelewa na wengine siyo tabia nzuri kabisa.Habari zenu wa JF
Leo naomba tujadili namna Mama zetu wanavyolea watoto wetu
Hivi ni sahihi Bibi kumtetea mjukuu pale unapomuadhibu hata kama amekosa?
Wewe kama mzazi wachukuliaje suala la malezi ya bibi kwa mjukuu wake?
Je! Malezi wanayowapa/kuwadekeza na kuwaendekeza hawa watoto wetu ni sahihi?
Nawakilisha
[emoji23][emoji23][emoji23] nahuja wewe..sio bana
Sana tu dearMwenyewe nililelewa na Bibi yaan mabibi wanadekeza sana wajukuu
Mimi ni ke..sawa nimeelewa ulichoandika lakini kuna wakati inabidi upeleke mtoto kwa Bibi kulingana na hali uliyonayoMy brother naomba nideclare interest kwenye hili. Mimi mzazi wangu mmoja alifariki nikiwa na miaka 4 mzee wetu hakuoa tena alitulea sisi wenyewe 3 na kila mmoja alijua kupika na kufanya kila kitu awe wa kike au wa kiume na kulisha ngombe na mbuzi na kuku na sasa kila mtu ni mzima na anajitegemea. cha msingi kila mtu achukue jukumu la kulea watoto wake haya mambo ya kulea au watoto kulelewa na wengine siyo tabia nzuri kabisa.