D
Deleted member 485868
Guest
- Thread starter
- #41
NakaziaWabibi wengi wakikaa na wajukuu lazima wajukuu wawe na tabia mbaya kwa kuwa hawachapwi wala hawakemewi.Mtoto yoyote bila kukemewa lazima awe na tabia mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaWabibi wengi wakikaa na wajukuu lazima wajukuu wawe na tabia mbaya kwa kuwa hawachapwi wala hawakemewi.Mtoto yoyote bila kukemewa lazima awe na tabia mbaya
Kuna wakati inabidi mtoto akakae tu kwa Bibi hakuna namnaMtoto akae na wazazi wake huko pengine anaenda salimia kwa siku chache
Wewe mwenyewe umekua adimu humuWew binti hujaonekana jf siku mingi. Ulitekwa ?
Bibi yangu mzaa Mama nae yuko ivyo..hapendi ujinga..no madeko tofauti na bibi wa upande wa BabaBasi bibi yangu alikua tofauti aisee, Bibi alikua anafinya yule daaaah no kudeka yani
[emoji23][emoji23] shem ya kweli hayo hujui kwann mwenzangu anakulaga vindimu?Jolie Jolie njoo ujibu hapa kwasababu kila siku nakuona unakula kula ndimu tu
Yna we unamuonaje uyu shemej etu[emoji23][emoji23] jj mkorofi wewe
Shemeji etu anaonekana sio mhenga kama sisi..[emoji23][emoji23] sidhani kama alikuwepo enzi vituko vya monkey na mfalme(kina shivoo) kipindi kile ITv saa nne asubuhiYna we unamuonaje uyu shemej etu
[emoji23][emoji23] shem ya kweli hayo hujui kwann mwenzangu anakulaga vindimu?
Nakata kichefuchefu[emoji23] [emoji23]Jolie Jolie njoo ujibu hapa kwasababu kila siku nakuona unakula kula ndimu tu
Shivo nimecheeeeka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] masterShemeji etu anaonekana sio mhenga kama sisi..[emoji23][emoji23] sidhani kama alikuwepo enzi vituko vya monkey na mfalme(kina shivoo) kipindi kile ITv saa nne asubuhi
Haha umenikumbusha mbali sana,mimi nilikua najuaga yule monkey ni jet le na yule kingurue ni samo hangShemeji etu anaonekana sio mhenga kama sisi..[emoji23][emoji23] sidhani kama alikuwepo enzi vituko vya monkey na mfalme(kina shivoo) kipindi kile ITv saa nne asubuhi
Ilikua full burudani sikutakaga kukosa hata kidogo..nikitumwa nanunaaaaaaaaShivo nimecheeeeka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] master
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi nilijuaga ndivyo walivyo vilevile yani sio kama sisiHaha umenikumbusha mbali sana,mimi nilikua najuaga yule monkey ni jet le na yule kingurue ni samo hang
[emoji23] [emoji23] eti kingurue[emoji23]bby buanaHaha umenikumbusha mbali sana,mimi nilikua najuaga yule monkey ni jet le na yule kingurue ni samo hang
Hapana ila sometime wana malezi mazuri...Kwa kuwadekeza hata pasipostaili?
Yaaani saa nne inaanzaIlikua full burudani sikutakaga kukosa hata kidogo..nikitumwa nanunaaaaaaaa
Na ndivyo anavyofanya Mama angu..Bibi anadekeza huyu..kuna wakati mtoto anakosea ukitaka tu kuadhibu utasikia muache huyo bado mdogo aelewi kitu wakati kipindi niko umri wake nilikua napigika acha...na mjukuu alivyo na sifa utakuta anafanya kosa kusudi anakimbilia kwa Bibi anajua mtetezi yupoYaan ukitaka mtoto wako aharibike kwa madeko mpeleke kwa bibi yake,
Utashangaa kosa ambalo alikua anakupiga wewe ukilifanya wakati mdogo mjukuu akifanya anamtetea wala hamuadhibu.
Ila inatokana na ile kauli ya,
"Mtoto wa Watu" kumbuka wewe unamuona mwanao lakini yeye anamuangalia mumeo ndio maana wanasemaga mtoto wa watu.
Ila sio kwa mama yangu mie, wajukuu wakienda kumuona likizo wakirudi makwao heshima na adabu, hatakagi ujinga kabisaaaa.
KweliHapana ila sometime wana malezi mazuri...
Ila yule mfalme alikua ananiboa na uzobaYaaani saa nne inaanza