Mabibo kama mbezi beach sasaivi

ThatMan

Senior Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
119
Reaction score
178
Ukiwa unatoka asubuhi kuelekea kwenye mihangaiko yako utaipenda mabibo ndani ya daladala,iwe ukiwa unaelekea makumbusho ,kariakoo au mnazi mmoja ndani ya daladala utakutana na watu wamependeza wastaharabu afu wananukia marashi mazuri , mabibo imekuwa nzuri na kitovu cha kuunganisha sehemu nyingi sana ,hii route naifananisha Na ile ya kutoka tegeta kupita mbezi beach kwenda Posta ndani ya daladala unaweza usitamani kushuka kabisa ,kwa masikitiko makubwa sasa imefika Muda wa kuhama mabibo na kuelekea uelekeo mwingine nitakukumbuka sana mabibo,tumekuwa wote kwa miaka mitano sasa ni Muda wa kusaka maisha sehemu nyingine
 
All the best uendako tutakumiss sana
Umetuacha tukiwa na mamnana full dozi na vident vya NIT chuo
Soko la mahakama ya ndizi na mengineyo mengi mazuri
Kila la kheri
Kwa majonzi makubwa naondoka, nahama mabibo, hao wanafunzi wa NIT hachana nao,utawapotezea dira yao though ni moja ya wanafunzi wa vyuo wanaoishi maisha magumu sana sababu ya pesa hawana
 
All the best uendako tutakumiss sana
Umetuacha tukiwa na mamnana full dozi na vident vya NIT chuo
Soko la mahakama ya ndizi na mengineyo mengi mazuri
Kila la kheri
Hivi mahakamanya ndizi ni Mabibo, Manzese au Ubungo?
 
Hivi bado Timu ya Yanga Sc wanapiga tizi hapo Viwanja vya Loyola?

Mabibo nimekaa miaka mitano
Luhanga ndiyo kilikuwa kijiwe changu
 
Akaribie Tena mabwawa 7
All the best uendako tutakumiss sana
Umetuacha tukiwa na mamnana full dozi na vident vya NIT chuo
Soko la mahakama ya ndizi na mengineyo mengi mazuri
Kila la kheri
 
Inabidi nirudi bibo siku moja nijionee maana nimeishi huko tangu nipo sekondari mpaka nimejukuu.
Mabibo mwisho,makutano,Madoto,Luhanga,First Inn mpaka Kigogo mwisho ndio ilikuwa viwanja vyangu vya kujidai!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…