Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri.

inafaa uitungie movie ongea na kanumba atamalizia jibu then utajua la kufanya..........
 
ooooops nimeishia aya y ila umejitahidi mkuu kwanza mi sio mpenzi saaana wa hadithi hadithi ila sikukatishi tamaaa hebu wasiliana na shigongo ili akupe safu moja kati ya magazeti yake ya udaku,kila la kheri
 
Mkuu mbona simple sana.., Ushatambulishwa ukweni na ww ushatambulisha. :decision::decision:
Hapo ulipaswa kuuliza, "Nifanye nini ili huyu wa pili anielewe?"
 
pole sana. The most important thing is praying bt umeshachakachua tena kabla ya ndoa bana?
 
Ndugu yangu maelezo yako ni marefu sana kulingana na story nimesoma hadi nikahisi usingizi, lkn baadae nikamaliza kusoma, mimi niko Pemba Zanzibar, pokea ushauri kutoka zanzibar. Mtazamo wangu nikua, mwanamke wa mwanzo ndie uliempenda na akakukubalia kwadhati na wa pili amekupenda na ukamkubalia kwadhati, kiushauri wangu ni bora kama ni kuoa uowe wakwanza kutokana umetaka kufanya nae mapenzi na kakukubalia, uangalie hapo chochote lolote kwake sio mali kukupa. Na wapili wakati anakupigia sim mpe dharura nyingi ili halafu atachoka.
 
Oa yule mtoto wa kwanza wewe zcha hizo onja onja utakuja onja mchunga ukutoe roho. hivi hizi bikira huwa ni dili sana eee. mie sizimaind kabisa maumivu yasiyo na mpango. anateleza shwaaaaaaaaaa
 

Vipi muungano, aaah sorry off topic
 
Mkuu mbona simple sana.., Ushatambulishwa ukweni na ww ushatambulisha. :decision::decision:
Hapo ulipaswa kuuliza, "Nifanye nini ili huyu wa pili anielewe?"

Mi nashangaa huyu wa pili anaweza akawa hajampenda yeye ila muda umemtupa mkono. mambo ya shule wakati mwingine yanaturostisha sana wanawake muda ukifika wa kuolewa wa umri wako wanataka wadogo zaidi wakubwa kwako washaoa wote , hapo ndio anatokea bwana the future, unamwachaje kwa mfano
 
Unahitaji busara zaidi kwenye hili suala muombe Mungu akuongoze kwenye hili suala kama wewe ni mkristu sali NOVENA
 
Umeamuaje sasa urudi kutujuza usimwache yule wa kwanza umesikia the future
 
ha hahaaaaaaaaa Dena uwiiiiiiiiiiiiiiiii umenichekesha sana dia!! sijui part II itakuaje!! mie naona wanaume kama wasanii tu!! yy mwenyewe lazima anajawabu tu kwenye akili yake, hata ukisoma maelezo yake utaona yana uzito kwa mtu fulani!!

But The future, sisi tunaweza kukushauri wa pili kumbe ww unampenda wa kwanza and vise-verse,Biblia inasema " Mith 16, maandalio ya moyo niyamwanadamu lakini jawabu la ulimi hutoka kwa Bwana"
 
pole sana kaka ila nakushauri omba Mungu na pia endelea na yule wa kwanza huyo wa pili tumia busara mambo yatakwenda vizuri la muhimu ni wewe kuangalia maisha yako na sio kufukiri sana atasikiaje baada ya wewe kumuacha kila la heri kaka.
 
Re: Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri.


Dou!!! very touching story, ndugu yangu jambo lako linahitaji busara zaidi kuliko akili yetu ya kawaida ya kibinadaamu, kwanza kabisa ulikuwa tayari na uhusiano na msichana ambae mwenyewe ulimpenda kwa moyo mmoja mpaka alipokuwa tayari kuwa na wewe nakushauri uendelee nae huyo, huwezi jua huyo dada mwingine anakuhitaji umuoe sababu tu umri umekwenda. Ni bora umemwambia ukweli mapema. nakushauri endelea na yule wa kwanza kama mapenzi yako yako kwako na huyo mwingine mweleze tena akuelewe mbaki na uhusiano wa urafiki tu.
Pili haya mambo ya bikira yapo sana huko rwanda nilishasikia sijui wanafanya vitu gani inarudi na unahisi ni bikira kabisa kwa hiyo hilo swala lisikupe kichwa kabisa ingawaje linaweza kuwa ya kweli vilevile. mwisho kabisa mshirikishe mungu jitolee ufunge kwa maombi japo siku tatu mungu atakufungulua njia.mambo mengine hatuwezi kuyatambua kwa akili zetu za kibinadamu


asante sana Gaga na Mungu akubariki kwa ushauri wako
 
Re: Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri.

ha hahaaaaaaaaa Dena uwiiiiiiiiiiiiiiiii umenichekesha sana dia!! sijui part II itakuaje!! mie naona wanaume kama wasanii tu!! yy mwenyewe lazima anajawabu tu kwenye akili yake, hata ukisoma maelezo yake utaona yana uzito kwa mtu fulani!!

But The future, sisi tunaweza kukushauri wa pili kumbe ww unampenda wa kwanza and vise-verse,Biblia inasema " Mith 16, maandalio ya moyo niyamwanadamu lakini jawabu la ulimi hutoka kwa Bwana"

suzy, kiukweli nampenda wa kwanza na ndio chaguo langu lakini wapili yupo desperate sana na ninachohitaji ni njia ya kumu aproach ili aelewe hali ni lio nayo. asante kwa ushauri.
 

wa pili niuzie tafadhali
 
Mayenga are you serious? unajua kukuuzia siwezi ila kama unataka kua rafiki wa kawaida naweza kukupatia mawasiliano nae then katika maongezi yenu mnaweza fika mbali zaidi wenyewe au vipi ndugu yangu?
 
kaka hongera sana .......... ila akili kumkichwa wachunguze wote polepole ...wanyarwanda hao ......
 
duh!!!!!!!!!! bikira 2011. labda wanafunzi wa chekechea...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…