Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu maelezo yako ni marefu sana kulingana na story nimesoma hadi nikahisi usingizi, lkn baadae nikamaliza kusoma, mimi niko Pemba Zanzibar, pokea ushauri kutoka zanzibar. Mtazamo wangu nikua, mwanamke wa mwanzo ndie uliempenda na akakukubalia kwadhati na wa pili amekupenda na ukamkubalia kwadhati, kiushauri wangu ni bora kama ni kuoa uowe wakwanza kutokana umetaka kufanya nae mapenzi na kakukubalia, uangalie hapo chochote lolote kwake sio mali kukupa. Na wapili wakati anakupigia sim mpe dharura nyingi ili halafu atachoka.
Mkuu mbona simple sana.., Ushatambulishwa ukweni na ww ushatambulisha. :decision::decision:
Hapo ulipaswa kuuliza, "Nifanye nini ili huyu wa pili anielewe?"
Re: Mabikra wawili wananichanganya tafadhali nisaidieni ushauri.
ha hahaaaaaaaaa Dena uwiiiiiiiiiiiiiiiii umenichekesha sana dia!! sijui part II itakuaje!! mie naona wanaume kama wasanii tu!! yy mwenyewe lazima anajawabu tu kwenye akili yake, hata ukisoma maelezo yake utaona yana uzito kwa mtu fulani!!
But The future, sisi tunaweza kukushauri wa pili kumbe ww unampenda wa kwanza and vise-verse,Biblia inasema " Mith 16, maandalio ya moyo niyamwanadamu lakini jawabu la ulimi hutoka kwa Bwana"
suzy, kiukweli nampenda wa kwanza na ndio chaguo langu lakini wapili yupo desperate sana na ninachohitaji ni njia ya kumu aproach ili aelewe hali ni lio nayo. asante kwa ushauri.