Mabilion ya uswis kuongeza nguvu kwenye mkopo wa wanafunzi wa elimu ya juu

JUNK MASTER

Member
Joined
Aug 14, 2012
Posts
84
Reaction score
18
HABARI ZENU WANA JUKWAA ETI NINGEPENDA KUPATA UHAKIKA WA NILICHOKISIKIA KWA YEYOTE AJUAYE KWAMBA YALE MABILIONI YA WALALAHOI,WATOTO WA WAKULIMA,WANANCHI WA KAWAIDA,WASAKATONGE YALIYOKO HUKO NG'AMBO USWIZI YATAREJESHWA HARAKA ILI KUONGEZA NGUVU HESLB, HIVYO KWA WALE NDUGU ZANGU MLIOTOKA NIL (KOZI ZISIZOKUWA KIPAUMBELE) WAJIPE MOYO NEEMA ITAKUJA?:cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2:

"A man should look for what is, and not for what he thinks should be. Information is not knowledge"
- Albert Einstein
 
Labda sio Tanzania hii niijuayo,
Yaani Kikwete na wenzake wachukue hela zao walizoweka Uswisi, wakulipie wewe mkopo mtoto wa mlalahoi?
Hakunaga hilo
 
HABARI ZENU WANA JUKWAA ETI NINGEPENDA KUPATA UHAKIKA WA NILICHOKISIKIA KWA YEYOTE AJUAYE KWAMBA YALE MABILIONI YA WALALAHOI,WATOTO WA WAKULIMA,WANANCHI WA KAWAIDA,WASAKATONGE YALIYOKO HUKO NG'AMBO USWIZI YATAREJESHWA HARAKA ILI KUONGEZA NGUVU HESLB, HIVYO KWA WALE NDUGU ZANGU MLIOTOKA NIL (KOZI ZISIZOKUWA KIPAUMBELE) WAJIPE MOYO NEEMA ITAKUJA?:cheer2::cheer2::cheer2::cheer2::cheer2:

hakunaga k2 kama iyo
 
Back
Top Bottom