Mabilionea wakubwa 20 waliojitengengenezea utajiri wao baada ya kuacha Chuo Kikuu

Acha chuo Marekani ukiwa na lengo, unatoka.

Acha chuo Tanzania, hata ukiwa na plan, unaweza ishia kuwa bodaboda.
 
Huku sisi tunawaza kuajiriwa halmashauri tu.
 
Kumbuka hao ni waliodrop out wakatoboa.. kuna maelfu walichakaa.. ila huwez wasikia maana ni makapuku.

Shule bado ni muhimu aisee tuachane kusifia ku drop out. Ni upuzi

Kweli kabisa! Drop out pale tu unapokua na kitu unachoamini kabisa unaweza kukifanya kwa ufasaha na unaona kinahitaji muda wa kutosha ambao shule inauchukua, vinginevyo bora usome hata ukiwa average hautakosa cha kufanya. Usiombe shule igome na hauna cha maana unaweza kukifanya.

Kosa letu wengi tunawatolea hawa jamaa kama mfano wa kuacha shule na kufanya mambo mengine. Tatizo shule inakushinda ndio unataka utafute cha kufanya, lazima ujute.
 
Wenye I Q kubwa na tusio na mipaka ya mawazo tutajua ili Dish limekaa tenge linahitaji fundi ili alirekebishe pasipo kufanya hivyo litaendelea kutoa taarifa mchanganyo mixer machenga chenga 1. Baada ya kuandika andiko lako nini hasa lengo la andiko lako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…