'Mabilionea' wanaomiliki timu za Mpira wa Miguu barani Africa na Utajiri Wao.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Orodha hii imepangwa kutokana na kiasi cha fedha (net worth) anachomiliki owner wa timu.. Na anaanza owner mwenye mkwanja mrefu.
1.
Jina La Mmiliki: Patrice Motsepe
Jina La Timu: Mamelodi Sundowns
Nchi: South Africa
Net Worth: $1.8 Billion
2.
Jina La Mmiliki: Mohammed Dewji
Jina La Timu: Simba SC
Nchi: Tanzania
Net Worth: $1.5 Billion
3.
Jina La Mmiliki: Said Salim Bakhresa
Jina La Timu: Azam FC
Nchi: Tanzania
Net Worth: $600 Million

4.
Jina La Mmiliki: Dr. Papa Kwasi Nduom
Jina La Timu: Elmina Sharks
Nchi: Ghana
Net Worth: $400 Million
5.
Jina La Mmiliki: Ali Haddad
Jina La Timu: USM Algiers
Nchi: Algeria
Net Worth: $300 Million
6.
Jina La Mmiliki: Moïse Katumbi Chapwe
Jina La Timu: TP Mazembe
Nchi: Congo
Net Worth: $60 Million
7.
Jina La Mmiliki: Irving Khoza
Jina La Timu: Orlando Pirates
Nchi: South Africa
Net Worth: $30 Million
.
.
.
.
.
.
Mwisho;
Jina La Mmiliki: Yahya Akilimali
Jina La Timu: Ndala SC
Nchi: Tanzania
Net Worth: Below $2,000.


Nikiripoti toka katika tawi la Forbes Africa, lililopo hapa Posta ndani ya jiji hili la Dar es Salaam... Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jina la mwisho mbona limetengwa peke yake lilistahili liwe la pili halafu la pili liwe la mwisho au siyo mkuu [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Aisee umeidharau sana club yangu kuwa na thamani ya pikipiki mbili za Boxer
 
🙂🙂🙂.. Kila kitu kiko sawa Mkuu.. Hakuna Error yoyote.
 
Bado haisaidii kitu, Itizame TP Mazmbe ilipo na itizame iyo Simba ilipo.
 
Bado haisaidii kitu, Itizame TP Mazmbe ilipo na itizame iyo Simba ilipo.
Tuanzie hapa,
1. Katumbi kaanza kuimiliki Mazembe lini na Mo kakabidhiwa mabingwa watetezi wa TPL lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…