'Mabilionea' wanaomiliki timu za Mpira wa Miguu barani Africa na Utajiri Wao.

'Mabilionea' wanaomiliki timu za Mpira wa Miguu barani Africa na Utajiri Wao.

Tuanzie hapa,
1. Katumbi kaanza kuimiliki Mazembe lini na Mo kakabidhiwa mabingwa watetezi wa TPL lini?

Hatuna maneno mengi, Tunakusubirini basi klabu bingwa tuone kazi ya fedha zenu.
 
Hata azam haipo[emoji15] [emoji15]
Mkuu, huyu ndugu yetu alisahaulika ila nafasi yake ni kama ifuatavyo;
3.
Jina La Mmiliki: Said Salim Bakhresa
Jina La Timu: Azam FC
Nchi: Tanzania
Net Worth: $600 Million
Japo Azam kaingia hapo.. Ninyi nafasi yenu inabaki pale pale.
 
Mbona Simuoni Papaa Kalekwa Mmiliki Wa Sofapaka Ya Kenya
 
Mbona Simuoni Papaa Kalekwa Mmiliki Wa Sofapaka Ya Kenya
Mkuu list ni ndefu sana.. Na ndo mana kuna vidoti doti baada ya namba 6 then kuna mwisho.. Hii inamaanisha kwenye hivyo vidoti doti ndo kuja kina Sofapaka, Singida United n.k alafu ndo kuna Yahya Akilimali.
 
Heb fanya kama unaileta hyo thaman ya uwekezaj wa MO ktk Tsh. Tuuone werev wako ewe simba fan mwenzangu
 
Orodha hii imepangwa kutokana na kiasi cha fedha (net worth) anachomiliki owner wa timu.. Na anaanza owner mwenye mkwanja mrefu.
1.
Jina La Mmiliki: Patrice Motsepe
Jina La Timu: Mamelodi Sundowns
Nchi: South Africa
Net Worth: $1.8 Billion
2.
Jina La Mmiliki: Mohammed Dewji
Jina La Timu: Simba SC
Nchi: Tanzania
Net Worth: $1.5 Billion
3.
Jina La Mmiliki: Said Salim Bakhresa
Jina La Timu: Azam FC
Nchi: Tanzania
Net Worth: $600 Million

4.
Jina La Mmiliki: Dr. Papa Kwasi Nduom
Jina La Timu: Elmina Sharks
Nchi: Ghana
Net Worth: $400 Million
5.
Jina La Mmiliki: Ali Haddad
Jina La Timu: USM Algiers
Nchi: Algeria
Net Worth: $300 Million
6.
Jina La Mmiliki: Moïse Katumbi Chapwe
Jina La Timu: TP Mazembe
Nchi: Congo
Net Worth: $60 Million
7.
Jina La Mmiliki: Irving Khoza
Jina La Timu: Orlando Pirates
Nchi: South Africa
Net Worth: $30 Million
.
.
.
.
.
.
Mwisho;
Jina La Mmiliki: Yahya Akilimali
Jina La Timu: Ndala SC
Nchi: Tanzania
Net Worth: Below $2,000.


Nikiripoti toka katika tawi la Forbes Africa, lililopo hapa Posta ndani ya jiji hili la Dar es Salaam... Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice)
Yaani mleta mada ni mpuuzi was kutupwa, hivi unaweza fananisha To Mazembe na uchafu wenu was Kariakoo? Hats Azam fc wenyewe huwezi fananisha na hizo takaka. Sema tu were mhemko was kushabikia Simba unakusumbua, nahisi unataka kumpora cheo Manara. Wenzio wakiletaga data kama hizi, uweka na source ili watu wajiridhishe, hebu weka source hapa kama kweli wewe siyo mbumbumbu.
 
Naimani hata babu yako alizaliwa huku analisikia jina la YANGA acha dharau
 
Back
Top Bottom