Mabilioni mengine ‘yayeyuka’ kwenye upatu mpya, Mchungaji KKKT atapeliwa Tsh. Milioni 200

Mabilioni mengine ‘yayeyuka’ kwenye upatu mpya, Mchungaji KKKT atapeliwa Tsh. Milioni 200

Ila haya makampuni ya hisa ni hatari sana
 
Acha wapigwe tu wanapenda mteremko sana..
Mm ninakikampuni changu cha technologies hadi leo mwaka wa 2 huu sijapata mbia..
Watu wanapenda mteremko sana.
 
mchungaji katoa wapi mil200? na hao wastaafu wametoa wapi mil300? hawa ni wizi walio zidiwa ujanja na wizi wengine. Ngoma droo
 
mchungaji katoa wapi mil200? na hao wastaafu wametoa wapi mil300? hawa ni wizi walio zidiwa ujanja na wizi wengine. Ngoma droo
Mjomba wangu alikuwa ni mwalimu wa shule ya msingi huko Mbeya. Kastaafu mwaka 2017 na kalipwa mafao mwaka 2019. Aliwekeza Tsh 30,000,000. Zimepotea
 
Inawezekana alichepusha sadaka wajanja nao wamezichepusha.
Akili kumkichwa
 
..Mlipokuwa mnaweka Mamilioni yenu hamkuconsult Mama Samia, Mmepigwa ndio mnamtaka aingie kati! [emoji1]
Wajingazz ! Pigweni TU Hadi mtie Akili !...
 
mchungaji katoa wapi mil200? na hao wastaafu wametoa wapi mil300? hawa ni wizi walio zidiwa ujanja na wizi wengine. Ngoma droo
Huyo mchungaji alishindwaje kuona maono juu ya hatari hii?
Mbona anapewaga maono mengi tu?
Au alipewa akayapuuza?
[emoji848][emoji848]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom