Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Majarida uchwara hayo leta ranking kutoka Edu ranking and Uni ranking ni World wide recognised and reputable.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe mbumbumbu endelea kukariri unadhani mambo Bado Yako vile vile kama JanaNull and void .. Top 5 best University in East Africa ni Nairobi University, Makerere University, Kenyatta University and University of Dar es Salaam
Times ni jaridja uchwara au unaropoka tuu?Majarida uchwara hayo leta ranking kutoka Edu ranking and Uni ranking ni World wide recognised and reputable.
Acha kutunga outdated information 👇👇
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1795057766521803169?t=vTWfBwbOjVxU4uPfm6OSww&s=19
Hiyo Times Higher Education wewe ndio uliiandika kama rejea kwenye uzi wako, soma hapa chini..Times ni jaridja uchwara au unaropoka tuu?
Nilipocheki kwenye hiyo rejea yako ya Times Higher Education nikaona taarifa zao umezichakachua ukawasilisha humu uongo, nilichofanya ni kuleta uhalisia.Hivi ni vyuo vikuu bora katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa mujibu wa Times Higher Education;
Wewe ni kizibo kabisa naropoka wakati Uni ranking ya January 2024 inaeleza hivyo.Wewe mbumbumbu endelea kukariri unadhani mambo Bado Yako vile vile kama Jana
Wewe kama msomi unaona hilo jarida moja ndio reference sahihi kwa ranking ya vyuo vikuu. Wewe kama sio bure kabisa utatumiaje report moja ku justify hoja yako.Times ni jaridja uchwara au unaropoka tuu?
Kwani lazima hiyo ranking Yako?Wewe ni kizibo kabisa naropoka wakati Uni ranking ya January 2024 inaeleza hivyo.
Wewe la kwako ndio unaona la ukweli?Wewe kama msomi unaona hilo jarida moja ndio reference sahihi kwa ranking ya vyuo vikuu. Wewe kama sio bure kabisa utatumiaje report moja ku justify hoja yako.
Report zinazo tambulika dunia nzima kwa University ranking ni Uni ranking na Edu ranking tuletea report hizo za December 2023 na January 2024.
Wataiharibu kabisa walipewa wakafeli kuindesha wana nini kipya?Muhas warudishiwe Hospitali ya Mloganzila.watafanya makubwa Sana.
Hiyo yako ni ranking ya uchochoroni haitambuliki popote.Kwani lazima hiyo ranking Yako?