Mabilioni ya pesa inayoshinda simba ligi ya caf ikiwemo bilioni 5 ya African super League waliyopewa mwaka jana zinaenda wapi ?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Ni ubahili, ubadhilifu wa fedha, kuna chuma ulete, au ?

Simba imekuwa klabu ya kushinda mabilioni kwa miaka kadhaa kila inapoishia robo fainali caf, Na mwaka jana walipewa bilioni 5 za kushiriki super league.

Matunda ya hizo pesa mbona hayaonekani ?
 
Zinasajili wachezaji, Ayoub golikipa pekee yake ni zaid ya bilion, bado Ngoma, Sarr etc
 
Ni ubahili, ubadhilifu wa fedha, kuna chuma ulete, au ?

Simba imekuwa klabu ya kushinda mabilioni kwa miaka kadhaa kila inapoishia robo fainali caf, Na mwaka jana walipewa bilioni 5 za kushiriki super league.

Matunda ya hizo pesa mbona hayaonekani ?
Mwamedi kanjibai janja2.
 
Kipa aliyeletwa na Mudi kutoka Morocco ni billion 3. Kipa baada ya kupata Dili ilo aka amua kuacha kuuza nyama kwenye butcher ya mjomba wake.
Za ndaaani mshambuliaji mpya Fred ndevu Magoli anaye kaba na kupiga mitama kuanzia mbele ameigharimu Simba bilioni na ushee akitokea apo Zambia.
Kwa hesabu kama izo Bado mnadai chenji wakati msaka vipaji wa klabu naye kachukua chake Cha udalali.
 
Zipo kwenye account ya kanjibai
 
Timu hii ina mlolongo mrefu sana wa watu wapigaji! Pesa hadi ikifika kwenye malengo husika imebakia ngozi tu, ndio maana kila siku huleta wachezaji wasioeleweka! Yanga pesa ikitoka kwa Gharib moja kwa moja kwa Engineer nae moja kwa moja sokoni!
 
Ni ubahili, ubadhilifu wa fedha, kuna chuma ulete, au ?

Simba imekuwa klabu ya kushinda mabilioni kwa miaka kadhaa kila inapoishia robo fainali caf, Na mwaka jana walipewa bilioni 5 za kushiriki super league.

Matunda ya hizo pesa mbona hayaonekani ?
49% goes to Kanjibhai's pocket.
 
Ni ubahili, ubadhilifu wa fedha, kuna chuma ulete, au ?

Simba imekuwa klabu ya kushinda mabilioni kwa miaka kadhaa kila inapoishia robo fainali caf, Na mwaka jana walipewa bilioni 5 za kushiriki super league.

Matunda ya hizo pesa mbona hayaonekani ?
Umerudi na maswali yako ya kidwanzi.
 
Back
Top Bottom