Mabilioni yakutwa kwenye chumba alichojificha Yahaya na familia yake, misaada ya unrwa yatumika kifamilia

Ama kweli mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu, Yahya Sinwar na familia yake walikuwa wakiishi chini kwenye mahandaki maisha ghali kwa kufuja pesa na misaada ya umoja wa kimataifa huku wakiwaacha raia wa kawaida wa Palalestina wapambane juu ya ardhi na kuwa ngao yao pale Israel inapothubutu kushambulia mahandaki.

Kwenye vyumba vya kwenye handaki alilojificha Yahya Sinwar na familia yake. kumekutwa pesa nyingi sana sawa na mabilioni ya shilingi, Mifuko ya chakula ya shirika la kimataifa la kusaidia wakimbizi unwra, Yahya alitumia pesa za misaada kuifanya familia yake iishi maisha ghali ikiwemo kumnunulia mke wake pochi ya dola elf 32 (shilingi milioni 86).

View attachment 3131191

Hiki ni kipande cha video kinachoonyesha Yahya akiihamisha familia yake kwenye maficho masaa machache kabla ya shambulio la October 7, Mke wake kabeba pochi ya dola elf 32 (shilingi milioni 86).

View attachment 3131195

View attachment 3131027
Mnona kama vile nimeona chupa ya wine? 🤣ila hawa jamaa, duh..
 
Propaganda za kipuuzi, yule alikuwa kiongozi hivyo ni wazi maisha yake yako juu kuliko raia.

Kiongozi ana watu anaowaongoza, bila pesa wataoperate vipi?

Kuwa kiongozi wa juu wa Hamas ni kujitolea maisha yako kwa maana unageuka target, hayo maisha ya kwenye handaki huwezi kusema ni maisha ghali kuliko hatari inayowakabili.

Juu ya yote, aliuawa wapi? Eneo la wazi hapohapo Gaza akiwapigania watu wake. Hizi propaganda za kipuuzi haziwezi kuondosha heshima tunayompa sisi wengine, Sinwar amekufa shujaa.

Apumzike kwa amani.
 
Niliwahi ku-comment humu kwamba hakuna mtu aliekuwa akiishi maisha ya shida kama snawar, hakua na amani, huko chini ya mashimo hakukalika Bora waliokua juu ya ardhi walikua na amani kuliko snawar

Clip nyingi zilivuja namna jamaa alivyokua akihaha kuhama hama mashimo Kila alipohisi hatari,hakika alitamani aishi kawaida lkn ndo hivyo tena.kiufupi IDF walijua fika alipo, lilikua ni swala la muda tu kumuondoa maana mara kadhaa waliafika makazi yake na jamaa alikua akitoloka mda mchache kabla wayahudi kufika.

Binafsi ukiniambia nimuelezee snawar nitakwambia ni baba elieipenda mno familia yake,alitamani muda wote iwe salama, iishi vizuri, hakika hilo amehangaika kulitimizi mpaka dakika ya mwisho ya uhai wake.

Snawar alikua kiongozi mbinafsi sana, aliejijali yeye na familia yake, kipaumbele chake hakikuwa waparestine Bali familia yake, hata kifo chake ilikua ni ktk harakati za kujiokoa/ kutolokea misri baada ya kuona shimoni hakukaliki tena, Wala hakua front kama waficha maladhi wanavyojaribu kumpamba.

Kwangu Mimi namuona Ismail haniyar alikua shujaa kuliko snawar haniyar familia yake yote ilikua front, alipambana huku na kule kuhakikisha waparestine wanapata misaada na uungwaji mkono.
 
Duuu!
 
Wazayuni baada ya kuona video ya kuuwawa kwake imempendezesha wameona waje na video hii hii,

Ndo wajinga hawa hawa walituonesha calendar ya kiarabu wakisema ni majina ya magaidi na jinsi ya kuua, Fuc Zionist, fuc thier supporters.
 
Ama kweli mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu, Yahya Sinwar na familia yake walikuwa wakiishi chini kwenye mahandaki maisha ghali kwa kufuja pesa na misaada ya umoja wa kimataifa huku wakiwaacha raia wa kawaida wa Palalestina wapambane juu ya ardhi na kuwa ngao yao pale Israel inapothubutu kushambulia mahandaki.

Kwenye vyumba vya kwenye handaki alilojificha Yahya Sinwar na familia yake. kumekutwa pesa nyingi sana sawa na mabilioni ya shilingi, Mifuko ya chakula ya shirika la kimataifa la kusaidia wakimbizi unwra, Yahya alitumia pesa za misaada kuifanya familia yake iishi maisha ghali ikiwemo kumnunulia mke wake pochi ya dola elf 32 (shilingi milioni 86).

View attachment 3131191

Hiki ni kipande cha video kinachoonyesha Yahya akiihamisha familia yake kwenye maficho masaa machache kabla ya shambulio la October 7, Mke wake kabeba pochi ya dola elf 32 (shilingi milioni 86).

View attachment 3131195

View attachment 3131027
Hivi nani mchukuaji wa hiz picha!?
Walinzi wa Yahaya walikuwa wapi picha hiz zikipigwa!
Nani kazisambaza picha hizi?
Nani amefanya kazi ya kutafsiri kwenda kiswahili?
Is the source reliable?
 
Ama kweli mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu, Yahya Sinwar na familia yake walikuwa wakiishi chini kwenye mahandaki maisha ghali kwa kufuja pesa na misaada ya umoja wa kimataifa huku wakiwaacha raia wa kawaida wa Palalestina wapambane juu ya ardhi na kuwa ngao yao pale Israel inapothubutu kushambulia mahandaki.

Kwenye vita propaganda za kijinga kama hizi hushabikiwa na wajinga tu.
 
Propaganda za kipuuzi, yule alikuwa kiongozi hivyo ni wazi maisha yake yako juu kuliko raia.

Kiongozi ana watu anaowaongoza, bila pesa wataoperate vipi?

Kuwa kiongozi wa juu wa Hamas ni kujitolea maisha yako kwa maana unageuka target, hayo maisha ya kwenye handaki huwezi kusema ni maisha ghali kuliko hatari inayowakabili.

Juu ya yote, aliuawa wapi? Eneo la wazi hapohapo Gaza akiwapigania watu wake. Hizi propaganda za kipuuzi haziwezi kuondosha heshima tunayompa sisi wengine, Sinwar amekufa shujaa.

Apumzike kwa amani.
Taqbiiiiiiiiiiiiiiiiir
 
We kweli una akili za kitoto dollars 32 elfu azo ni pesa kwa mtu kiongozi kama huyo. Hizo pesa nbona hata hununui Toyata Camry XSE 😄

TV za Israel zina lalamika walio chukua video ya Yahya Sinwar wamemuonyesha kama shujaa haya ndio niliyasema walitaka wao kumdhallisha kumbe Mungu ana mpaisha kaonekana ni A Legend 😄

View: https://x.com/ajmubasher/status/1848091991164473593?t=RbD9BhYlMy-TPi52r1xS3A&s=19

20241017_163527.jpg
Screenshot_2024-10-20-18-43-49-587_com.twitter.android~2.jpg
 
Misaada waliyopewa wapalestina wangeitumia kujenga nchi yao Gaza ingekuwa zaidi ya dubai
Ujenge wapi kila siku mazayuni yakijiskia yanamega tu kipande cha ardhi? Wacheni wapalestina na maamuzi yao
 
Niliwahi ku-comment humu kwamba hakuna mtu aliekuwa akiishi maisha ya shida kama snawar, hakua na amani, huko chini ya mashimo hakukalika Bora waliokua juu ya ardhi walikua na amani kuliko snawar

Clip nyingi zilivuja namna jamaa alivyokua akihaha kuhama hama mashimo Kila alipohisi hatari,hakika alitamani aishi kawaida lkn ndo hivyo tena.kiufupi IDF walijua fika alipo, lilikua ni swala la muda tu kumuondoa maana mara kadhaa waliafika makazi yake na jamaa alikua akitoloka mda mchache kabla wayahudi kufika.

Binafsi ukiniambia nimuelezee snawar nitakwambia ni baba elieipenda mno familia yake,alitamani muda wote iwe salama, iishi vizuri, hakika hilo amehangaika kulitimizi mpaka dakika ya mwisho ya uhai wake.

Snawar alikua kiongozi mbinafsi sana, aliejijali yeye na familia yake, kipaumbele chake hakikuwa waparestine Bali familia yake, hata kifo chake ilikua ni ktk harakati za kujiokoa/ kutolokea misri baada ya kuona shimoni hakukaliki tena, Wala hakua front kama waficha maladhi wanavyojaribu kumpamba.

Kwangu Mimi namuona Ismail haniyar alikua shujaa kuliko snawar haniyar familia yake yote ilikua front, alipambana huku na kule kuhakikisha waparestine wanapata misaada na uungwaji mkono.
Hivi unaelewa jinsi hapo Philadelph panavyolindwa na mazayuni angepitia wapi? Halafu maisha viongozi unaelewa jinsi watoto wa Netanyau wako Marekani kwenye maswimming pool? Ila watoto wa maskini wako gaza wanakufa kila siku achilia mbali Lebanon. Mpaka wengine wanagoma kuitumikia jeshi kwa ajili ya tamaa za mtu mmoja. Yahya kawapiga chenga wao walikua wanamtafuta kwenye mahandaki lakini yeye alikua juu tena aliku ni sniper hatari kabisa kawaua maelfu
 
Back
Top Bottom