Mabilioni yakutwa kwenye chumba alichojificha Yahaya na familia yake, misaada ya unrwa yatumika kifamilia

Mabilioni yakutwa kwenye chumba alichojificha Yahaya na familia yake, misaada ya unrwa yatumika kifamilia

Umeileta kishabiki sana kwanza hujui hizo pesa zipo katika dola euro au ni pesa mfano wa Sh Kama Zita kua mfano wa Sh hizo ni mabilioni na huyo ni Kiongozi inajuaje Kama ni pesa sa wapiganaji wake namana Chakula kununua na mishahara
 
Watu wanyonge/masikini hutumiwa kama ngazi au daraja kwa wale wanaotafuta madaraka​
 
Kwa Yesu doesnt care. Jina lolote utakalo mwita hakutaka hata kulazimisha watu wawe wafuasi au wawe wakristo. Alisema kwa hiyari haya waliokuwa ndugu zake walimkataa na kumtukana. Hakuhangaika nao. Jambazi Muddy na Mzee wa totoz sasa ndo ilikuwa shida na group lake la majambazi, maharamia. Na wazinzi.
We unauhakika gani unacho ongea kama ni sawa, huyo unaye mtukane ndio ni mkombozi wako wala sio Yesu. Ukisha kufa utakumbuka maneno yangu.
 
We unauhakika gani unacho ongea kama ni sawa, huyo unaye mtukane ndio ni mkombozi wako wala sio Yesu. Ukisha kufa utakumbuka maneno yangu.
Malaya, Jangiri, mlaghai,mbakaji. Anawakomboa watu wa aina hiyo hiyo.... Kwa nyie mfuateni. Muddy ni Shetani na siwezi hata kumsogelea .... Alibaka mtoto wa miaka 6. Just imagine miaka 6 unamwoa?
 
Malaya, Jangiri, mlaghai,mbakaji. Anawakomboa watu wa aina hiyo hiyo.... Kwa nyie mfuateni. Muddy ni Shetani na siwezi hata kumsogelea .... Alibaka mtoto wa miaka 6. Just imagine miaka 6 unamwoa?
Tatizo mmefundishwa uwongo na chuki kuhusu Mtume Muhammad lakini mkatae au mtukane siku ukija kufa utajuta. Sio Yesu wala sio Paulo watakae kusaidia. Huwezi kusema au kujitetea hukusikia habari za Mtume Muhammad ambaye ndio mkombozi wa watu wote.
 
🤣🤣🤣🤣
 
Ama kweli mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu, Yahya Sinwar na familia yake walikuwa wakiishi chini kwenye mahandaki maisha ghali kwa kufuja pesa na misaada ya umoja wa kimataifa huku wakiwaacha raia wa kawaida wa Palalestina wapambane juu ya ardhi na kuwa ngao yao pale Israel inapothubutu kushambulia mahandaki.

Kwenye vyumba vya kwenye handaki alilojificha Yahya Sinwar na familia yake. kumekutwa pesa nyingi sana sawa na mabilioni ya shilingi, Mifuko ya chakula ya shirika la kimataifa la kusaidia wakimbizi unwra, Yahya alitumia pesa za misaada kuifanya familia yake iishi maisha ghali ikiwemo kumnunulia mke wake pochi ya dola elf 32 (shilingi milioni 86).

View attachment 3131191

Hiki ni kipande cha video kinachoonyesha Yahya akiihamisha familia yake kwenye maficho masaa machache kabla ya shambulio la October 7, Mke wake kabeba pochi ya dola elf 32 (shilingi milioni 86).

View attachment 3131195

View attachment 3131027
Wazayuni mafala sijapata kuona
 
Tatizo mmefundishwa uwongo na chuki kuhusu Mtume Muhammad lakini mkatae au mtukane siku ukija kufa utajuta. Sio Yesu wala sio Paulo watakae kusaidia. Huwezi kusema au kujitetea hukusikia habari za Mtume Muhammad ambaye ndio mkombozi wa watu wote.
Malaya, Jangiri, mlaghai,mbakaji. Anawakomboa watu wa aina hiyo hiyo.... Kwa nyie mfuateni. Muddy ni Shetani na siwezi hata kumsogelea .... Alibaka mtoto wa miaka 6. Just imagine miaka 6 unamwoa?
 
Mimi nikahisi hicho kibegi Cha Mrs Sinwar kimejaa chupi za bikini kumbe Birkin bag ni aina ya begi zinazouzwa gharama kubwa,
kingereza ukikiingia kichwa kichwa unaweza dharirika
Hata mimi ndio nimesoma hapa kumbe Hizi bag ni bei balaa million 54 kwa bag moja 😅🤔
 
Attachments

  • Screenshot_20241022_081314_Google.jpg
    Screenshot_20241022_081314_Google.jpg
    303.5 KB · Views: 2
Nadhani nyingi ndiyo zimetumika kujenga mahandaki!
Nasikia kule Lebanon kuna handaki jingine lenye gold nyingi za Hezibollah!
 
Back
Top Bottom