MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Mechi muhimu kama hii ya derby uwanja hauna electronic display boards, uwanja hauna big screen, pitch yenyewe mbovu haina hadhi kama ya viwanja vingine tunavyoona huko nchi zingine.
Kwa mabilioni yaliyomwagwa tulitegemea sio tu kuwa na on pitch electronic display board bali hata juu ilipaswa uwanja uwe na double circular electronic display board kama viwanja vingine mfano Amahoro stadium uliopo Kigali, Rwanda.
Viti vibovu, kwa kifupi hizo pesa na ukarabati tumekuwa tukisikia tangu mwaka juzi lakini mbona uwanja ndiyo unazidi kuwa wa hovyo??