MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Kheri yenu Makolo mmepata kichaka cha kujipozea Nondo mlipokula ili siku ipite. Kimoja Cha Nguruwe Mangungu nusura amrushe konde mwandishi wa habariMechi muhimu kama hii ya derby uwanja hauna electronic display boards, uwanja hauna big screen, pitch yenyewe mbovu haina hadhi kama ya viwanja vingine tunavyoona huko nchi zingine.
Kwa mabilioni yaliyomwagwa tulitegemea sio tu kuwa na on pitch electronic display board bali hata juu ilipaswa uwanja uwe na double circular electronic display board kama viwanja vingine mfano Amahoro stadium uliopo Kigali, Rwanda.
Viti vibovu, kwa kifupi hizo pesa na ukarabati tumekuwa tukisikia tangu mwaka juzi lakini mbona uwanja ndiyo unazidi kuwa wa hovyo??
Naunga hoja yani nilikuwa najiuliza hilo baada ya kuzungula uwanja karibu wote leo.
Na halafu ni kila msimu wanaweka bajeti ya kuukarabati.
Inashangaza sana
UNAWAAMINI WALE MATAPELI??????
Watubwaliopewa dhakana wanawajua vizuri watanzania. Kiufupi hela imepigwa na cha kustaajabisha ni kwamba huu uwanja hivi huwa wana ufungia kwa sababu gani.
Maana tangu yatolewe yale mabilion ni kama hakuna kitu wamefanya wahuni tu. Wapi Ally Mayai Tembele. (hivi bado anacheo katika usimamizi wa hiki kiwanja.?)
iko waziB30 watu washapita nazo sahv wanatamba tu.
Jamaa wahuni sanaSijaona ukarabati wowote wa maana, labda huko vyumbani ambako sijapaona
Sema naamini hao ni fall guys pamoja na Mwigu, mwisho wa siku hela zinarudigi kwenye account ya Chama zinatumika kwenye harakati zao kununua machawa,wasanii, waandishi wa habari, kuzindua redio mpya na kununua vitua vya habari pamoja na kuwanunua wanasiasa wa upinzani. Bila kusahau kuwaletea mziki wananchi pamoja na kuprint matisheti na vitengeMwana FA uwaziri unaacha lini ! “Bado nipo nipo bwana”
Wengine fisi wa simiyu wapo humu wakina lucas mwanshamba mwenye ID kumi anatumia kusifia ccmSema naamini hao ni fall guys pamoja na Mwigu, mwisho wa siku hela zinarudigi kwenye account ya Chama zinatumika kwenye harakati zao kununua machawa,wasanii, waandishi wa habari, kuzindua redio mpya na kununua vitua vya habari pamoja na kuwanunua wanasiasa wa upinzani. Bila kusahau kuwaletea mziki wananchi pamoja na kuprint matisheti na vitenge