Mabilioni yanaibiwa TAMISEMI, hazina, magari 2022 models bado mnadai tozo zina faida kwa raia

Mabilioni yanaibiwa TAMISEMI, hazina, magari 2022 models bado mnadai tozo zina faida kwa raia

njaakalihatari

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2019
Posts
4,081
Reaction score
8,671
Ukweli ni kwamba pamoja na kwamba mnatawala maiti na ma dunderheads makondoo grade A duniani ila mna roho mbaya nyie ni SADDISTS kama wale kwenye movies ambao huwa wanamuuua mtu kifo cha taratibu na victim anapopiga kelele kwa maumivu basi huwa ni furaha kubwa sana ya mtesaji

Kama vile paka anavyomuua panya taratiibu anamchezea anamtesa anamcheka hadi anamuuua ndicho kinachofanywa na awamu ya sita MATOZO kila kona ukisema u relax na tv channels nyumbani bei zinapanda tozo hadi za decorders, mara bundles zinaibiwa na kupanda kila siku, wanavamia hadi accounts za benki na kuiba

Malalamiko yakija eti zinajenga zahanati na madarasa, PESA ZINAIBIWA MNOOOOOO na hali ni mbaya hata reports za CAG zimegeuzwa mchezo wa kuigiza anatajataja tu ma figures yake yaliyoibiwa then business as usual

Ona sasa majuzi tu Tamisemi wameiba mabilions kimyaa sasa hazina wanaiba hata za wastaafu ni kimya tena
halafu tozo za wizi unasema eti zinalete maendeleo, hapo bado kuna billions 600 kila mwaka za kunununua magari luxury
WAAAFRIKA NI LAANA, KIUMBE DUNI KABISA SELFISH MNOOO

hazina.JPG
tozovx.jpg
 
Ikiwa 85% ya watanzania hawana habari na kinachoendelea tufanye nini sisi wenye upeo? kumbuka kuna watu hawatumiwi pesa,hawakopi,hawafanyi biasha yoyote hata ndogo,hawalipi bill yoyote,hawatibiwi hosp.hawa ni wengi na wanasikilizwa mno!
 
Kibaya zaidi wanao tumia hayo magari ya kifahari wakifika ofisini aidha wanachezea simu au wanagombana na wananchi waliofuata huduma kwenye ofisi za serikali.
Sijui atakayetuokoa ni Nani.
 
Kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji mtoni🐸🐘
 
Naomba mpige ule wimbo wa CCM wapinzani mtaisoma number, tujue ni wapinzani tu ndo wanasoma no au hadi nzi wa kijana
 
Lakini pia ni muhimu kuzungumzia haki za binadamu. Kwa nini watu wengine watembee bila viatu, ili wengine wasafiri kwa magari ya kifahari? Kwa nini wengine waishi miaka thelathini na mitano, ili wengine waishi miaka sabini? Kwa nini wengine wawe maskini sana, ili wengine wawe matajiri wakubwa? Ninazungumza kwa niaba ya watoto ulimwenguni ambao hawana kipande cha mkate. Nazungumza kwa niaba ya wagonjwa ambao hawana dawa, wale ambao haki zao za kuishi na utu wao zimenyimwa.

Sijasema mimi alikuwa Fidel Alejandro Castro Ruz
 
Nasikia kuna mihogo festival inakuja [emoji1]

Ova

Tutumie huo mkusanyiko tuandamane maana kila sehemu tu ni tozo hakuna hata kupumzika…Kwanzia kwenye umeme zile buku buku kila mwezi,bado wameenda kwenye miamala ya simu,sasa kwenye miamala ya mabenk na huko kwenye mabenk serikali inachukua vat yaan hii ni laana,,,Kinachofuata ni kutiwa vidole
 
Ikiwa 85% ya watanzania hawana habari na kinachoendelea tufanye nini sisi wenye upeo? kumbuka kuna watu hawatumiwi pesa,hawakopi,hawafanyi biasha yoyote hata ndogo,hawalipi bill yoyote,hawatibiwi hosp.hawa ni wengi na wanasikilizwa mno!
wanasikilizwa sana japo hawaongei na hawana habari
 
Ikiwa 85% ya watanzania hawana habari na kinachoendelea tufanye nini sisi wenye upeo? kumbuka kuna watu hawatumiwi pesa,hawakopi,hawafanyi biasha yoyote hata ndogo,hawalipi bill yoyote,hawatibiwi hosp.hawa ni wengi na wanasikilizwa mno!
unajichanganya kweli kwenye vijiwe mkuu? jaribu siku moja utashangaa hasira walizo nazo watu wako aware sana, na wengi wanamchukulia kwamba huyu Rais anakomoa makusudi ili kuijenga zanzibar
 
unajichanganya kweli kwenye vijiwe mkuu? jaribu siku moja utashangaa hasira walizo nazo watu wako aware sana, na wengi wanamchukulia kwamba huyu Rais anakomoa makusudi ili kuijenga zanzibar
Bado serikali itatengenezwa na chama cha kijani hata ukipiga kura wapi
 
Back
Top Bottom