kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
maneno mengiiii chamana hakuna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
atume cv kwenye timu ya kizembe hiyoKocha wa yanga mwenyewe katuma cv simba nyie endeleeni kujipa moyo tu mchezaji aache kwenda simba aende utopolo walioshindwa kumlipa ntabazonkiza.
Ndo nani huyu mkuu
Ndo nani huyu mkuu
Mbumbumbu aka kolo hawezi kukuelewaKuna mikataba miwili tofauti ya Adam
1.Mkataba kati ya Azam TV na TFF (TV Rights)-ambapo bingwa anapata milioni 500
2.Mkataba kati ya Azam TV na Yanga-Huu unahusu haki ya maudhui yote yanahusu Yanga,yanamilikiwa na Azam na Mkataba huo ni Wa Billion almost 30 kwa miaka 10.….…....ila kuna kipengele cha Bonuses endapo timu ikichukua ubingwa inapata Bonus ya Billion 3